Mauaji ya Abraham Linkolin

Mauaji ya Abraham Linkolin

Singidan

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2015
Posts
878
Reaction score
945
Hivi ndivyo alivyouwawa mwanafalsa huyu.
 

Attachments

  • ABRAHAM LINKOLIN.jpg
    ABRAHAM LINKOLIN.jpg
    51.9 KB · Views: 122
Sidhani kama ilikuwa hivyo. Nilivosikia alikuwa ndani ya gari
 
Aliuawa akiwa Rais au?
Yaani wanamuua rais wao?!

Kwani aliwakosea nini jamani!

Kumbe marais huwa wanauawa???!
Kichwa kinaniuma.

Wananchi wake hawakumuombea kwa mungu!!!!?
alikuwa kamaliza zamu yake ya kuwaunganisha waamerika,Baada ya vita vikali vya wenyewe kwa wenyewe. Huyu jamaa hakuwahi kuenjoy Whitehouse
 
Tupeni ukweli sasa. Mkipingana sana mtatuchanganya sie wa huku Nanjilinji kusini
Abraham linkoln baada ya kuendesha vita vya wenyewe kwa wenyewe na kufanikiwa kulinganisha taifa maana bila yeye USA ingekuwa ni kama bara la afrika lenye nchi kibao. Na kitu kikubwa alichokifanya ni Kusign Imancipation decralation ambayo ilikomesha biashara ya utumwa na kuwaudhi pamoja na kuongeza uadui na wazungu wa kaskazini waliokuwa hawataki hiyo kitu, Kosa lililotokea ni bodyguard wake alipoondoka kidogo tu kuelekea kwenye saloon ya jirani ajipatie japo kinywaji. Jamaa aliyepangwa kitambo akapata chance ya kumpiga risasi. Alikuwa ni mtu simple asiye na makuu maana alitokea kijijini.
 
Nilishafika kwenye Museams ya Lincolini , wanasema aliuwawa wakati akiwa theatre anaangalia movie kuna KKK mmoja ndo alimshoot Linc akiwa kwenye stage anaangalia akamshoot but inaonyesha ilikuwa ni inside mission
 
Nilishafika kwenye Museams ya Lincolini , wanasema aliuwawa wakati akiwa theatre anaangalia movie kuna KKK mmoja ndo alimshoot Linc akiwa kwenye stage anaangalia akamshoot but inaonyesha ilikuwa ni inside mission
uko vzr, alikuwa theatre anaangalia movie. Kumbuka kulikuwa na uasi mkubwa sana US wakati huo na kama kabla ya kupanga kumuua walipanga kumteka ili serikali iachie mateka wa waasi, lkn mission ilibadilika baada ya Hotuba yake ya 1865 ya kutetea watu weusi ikawa anatafutwa auwawe. Maana Wazungu hasa wa upande wa kaskazini mwa nchi walipinga mtu mweusi kuwa huru US
 
Back
Top Bottom