Sio kwamba nalituhumu kanisa ila ni uzembe, kuna maswali najaribu kujiuliza nakosa majibu.
1. Je hiyo mwenye Tender hakuwa na account kiasi kwamba kanisa lingefanya TISS?
2. Kulikuwa ulazima wa kumpatia mwenyw Tender Cash?
3. Kwanini asingepewa Cheque?
Ni uzembe wa hali ya juu
Jamani imeshasemwa kuwa hawa jamaa hawakuambulia kitu zaidi ya kilo mbili za mchele walikwenda benki ku-deposit
a
Polisi wako kwenye mgomo baridi; kama walim wanavyo felisha wanafunzi
Waumini wameamua kurejesha na kuchukua sadaka zao kwa nguvu baada ya kugundua sadaka zao zinatumika kwenye biashara haramu za biashara ya unga...ukweli ndio huo hizo nyingine ni blah blah yaani bla blah nyingi...
Sio kwamba nalituhumu kanisa ila ni uzembe, kuna maswali najaribu kujiuliza nakosa majibu.
1. Je hiyo mwenye Tender hakuwa na account kiasi kwamba kanisa lingefanya TISS?
2. Kulikuwa ulazima wa kumpatia mwenyw Tender Cash?
3. Kwanini asingepewa Cheque?
Ni uzembe wa hali ya juu
Hao wanaosema ni Tshs. 20m ni kina nani?
Kichwa chako kina mafuta ya taa?
Sasa wafanye hivyo lini na wao watajenga?
Yaani we mpaka leo hujajua kuwa kikatoliki kitokacho kwa muumini ni halali kwa mtendaji!?
Hawa viongozi wa makanisa wanajenga MAGOROFA na Majumba makubwa We ulidhani pesa hizo zinatoka wapi?
We wapi umeskia tenda ya Chakula ya mara moja ikalipiwa Mil 20 CASH!
Institutions gani Zikafanya hivyo?
Jibu ni MAKANISA tu! Ili wapate kukomba hela za Yesu!
Matokeo yake ndo haya, wale njaa kali ndio wanaokufa na yale magwiji (mapadri) yamekaa tu na kukuza vitambi km waja wazito kwa kula vya HARAMU.
We ukitaka kuona mfano itazame Picha ya yule Ishmael. Ana tumbo kubwa km Vw combi wakati kazi yake ni kudanganya watu makanisani na utapeli wa mchana.
Tumbo hilo kapata wapi km sio mbadhilifu?
Ila habari inaonyesha kuwa ni mhasibu wa shule na chuo... obvious hizo hela za ada na michango mingine sio sadaka.
Soma hapa
" Alisema walipofika eneo la Ubungo Kibangu ili kulipa deni la chakula katika duka la Thomas Francis ndipo walitokea majambazi wawili wakiwa na pikipiki ambayo haikusomeka namba."
Sasa shs mil za Ada ya chakula zilipwe CASH!
We hujaona picha bado?
Elimu muhimu sana. Nyie ndo mnaibiwa kilainii kabisa.
Kwa maana basi Kova huwa anakurupuka na habari zake?..