Mauaji Singida | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mauaji Singida

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ezra1504, Jul 19, 2012.

 1. e

  ezra1504 Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Operation ya M4C imeanza kitambo na imezunguka sehemu nyingi sana hasa ngombe za CUF na CCM mikoa ya kusini, iweje hapo kwa Mwigulu ndo zitokee vurugu? Inaonyesha huyu jamaa ni zero brain ndo maana akaandaa vijana wake wafanye fujo. Kuna watu wenye nguvu ya pesa na kisiasa km Lowassa, Rostam, Chenge, etc na wanakashfa kibao ila hawakuandaa vijana wa kupambana na wapinzani bali walikaa kimya na kuyapokea maneno ambayo yamepita na maisha yao yanaendelea vizuri kwa sasa mpk wanataka kugombea Urais na wanaongoza kamati za Bunge. Kwa wale wanaoneza chuki na propaganda chafu kuhusu kilichotokea Singida, mwambieni Mwigulu ajifunze siasa, kuandaa na kuwalipa vijana ili wafanye vurugu kuonyesha wanakupenda sana na wana uchungu na wewe ni utoto na uchanga kisiasa. Naomba kuwasilisha!
   
 2. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Yakhee mmeua msitafute mchawi ,mnasaka watu hadi ndani majumbani kama mpo msituni mnatafuta ndezi ? Ni bora mngemlimboka kuliko kumpotezea maisha yake.
   
 3. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Mnyika alikuwa hana sababu yoyote ya kwenda Singida wakati hata haijapita wiki moja tangu warushiane maneno na Mbunge wa jimbo hilo (Mwigullu). Ni dhahiri kabisa Mnyika alikwenda huko kwa jazba hasa baada ya kushindwa kuwasilisha uthibitisho kwamba Mwigullu ni mhanga wa EPA. Ni lazima Mnyika awe na kesi ya kujibu. Kama alifikiri kwenda Singida kungempa umaarufu zaid na kumpunguzia Umaarufu Mwiguluu basi hapo kachemka.
   
 4. S

  SANING'O LOSHILU Senior Member

  #4
  Jul 19, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  habari ndo hiyo hata shule yake nina mashaka nayo manake si akili timamu hizo ni zaidi hata ya utoto
   
 5. m

  mwinukai JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 1,448
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  hujui unachosema au unajua ila umebinfsisha kufikiri
   
 6. m

  mwinukai JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 1,448
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  kesi ipi kwa sheria ipi? poor argumentation
   
 7. e

  ezra1504 Member

  #7
  Jul 19, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndo maana tunasema mna mawazo mgando km ya Mwigulu mwenyewe. Hilo jimbo sio la Mwigulu kwani kuna watu wenye itikadi tofauti ktk jimbo, CCM, CUF, CHADEMA, NCCR, etc. sasa unawezaje kusema hakutakiwa kwenda huko? Ina maana ukiwa mbunge basi yeyote anayekupinga haruhusiwi kufika tena jimboni kwako? Hiyo ni operation ya chama na sio ya Mnyika na hapa hatushindanishi Mnyika na Mwigulu ila tunaangalia reality, inakuwaje mtu mwenye ukomavu wa kisiasa aandae vijana wa kuzuia mkutano wa chama kingine wkt yeye sio Polisi? kwa nini Polisi hawakusema Mnyika asije huku au Mwigulu hakwenda mahakamani ili Mnyika aambiwe shauri lipo mahakamani usiende Singida? Huo ni utoto wa Mwigulu kisiasa na hakuna lolote. Nimesema hapo juu, kuna siku zimetokea fujo kwa Lowassa au Chenge? Mangapi yamesemwa kuhusu wao na sasa yamepita? Mwambieni Mwigulu atulie siasa ndo jinsi ilivyo na sio kujihami na makundi ya vijana. Tumeona Igunga, alipokuwepo Mwigulu ndo fujo ziliibuka sasa yeye ni vurugu tu kwa kulipa vijana na ubabe kwa sababu ni kiongozi wa CCM.
   
 8. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #8
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  [h=6]TAARIFA RASMI MBUNGE 1 WA CHADEMA AMUOMBA RADHI MWIGULU KWA KUMTUMIA MSG ZA VITISHO;

  mwigulu ampa sharti la kutoa ufafanuzi kwa watanzania,,,mbunge huyo akasema viongozi wa chama chake wamekataa yeye kuomba radhi hadharani" hasira za kichaga:

  1. 'Hivi wewe unajiamini nini? Kwa nini unatuzonga hivyo? Unadhani nchi hii ni ya ccm milele? Utajutia kimbelembele chako. Unadhani ni wewe tu unayejua sana? Ukabila kwenye chama chetu unakuhusu nini hata kama kweli kwa nini kututia aibu? Hata ufanyeje 2015 tunaingia ikulu na mjengoni tutajaa, Wangwe alijifanya kujua kama wewe leo yuko wapi?'

  2. 'Bendera unayovaa kila siku shingoni itageuka sanda yako. Kila mtu ana haki ya kuvutia kwake lakini wewe umezidi. Hatuwezi kuitema keki tuliyokwishaionja'

  3. 'Fahari yako itageuka kilio kwako. Utatutambua'

  SOURCE: Tanzania Daima July 17, 2012.

  masikini CHACHA WANGWE kumbe hawa jamaa walikuua!!

  [/h][​IMG]
   
 9. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #9
  Jul 19, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Mwigulu ni sawa na wale viongozi wanaotumia vibaya madaraka!! Na hii itamgarimu sana kwa sababu uweka hazina tu anaonekana kakengehuka hajui namna ya kuzitumia zile pesa za bure bure za kujichotea tu kutoka kwenye makampuni yanayokwepa kulipa ushuru.
  Kama hasikii, ngoja tumwache ila sidhani atakuwa hivyo hadi mwisho wa dunia, No way!!
   
 10. e

  ezra1504 Member

  #10
  Jul 19, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 11. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #11
  Jul 19, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Kwani alikuwa anaombolezaaa? Kurushiana maneno siyo msiba. Hata kama wangetoka kurushiana maneno, kama ratiba yake ilikuwa anahitajika huko angekwenda tu. Na kwanini unang'ang'ania Mh. Mnyika ashtakiwe wakati yeye hakuua, hakuamuru mauwaji na wala hakuandaa kikundi cha mauaji. Kwanini mnamficha muhusika mkuu NCHEMBA???
   
 12. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #12
  Jul 19, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Bora wange mmua kama CCM walivyo muua wakala wa CHADEMA kule IGUNGA au jinsi walivyo mchinja wanyekiti wa chadema USA.
   
Loading...