Mauaji Rwanda 1994

Ila ana tako kubwa,,,,,,,,,,,,ngoja tufike uko maana wanadhani wao watakuwa salama
 
Consigment ya mapanga na visu vya UN,vilipitishiwa tanzania kwa askofu fulani hivi na yeye ndo akafanya mipango ya kusafirisha hilo kontena kulipeleka Rwanda,yale mauaji yalikuwa fore planned.ukitaka kuufahamu ukweli wa vita ama social phenomena yoyote usiangalie aftermath angalia logistics.jiulize silaha zilitoka wapi,jiulize media zilitumikaje kuchochea and who was behind it.Jiulize kwanini nchi jirani,UN,AU na jumuia ya kimataifa ilikaa kimya.hii kitu ilipangwa itokee kama secesion ya sudan na vita vinanvyoendela south sudan kwa sasa,kuna mtanzania kawa bilionea kwa biashara ya silaha za magendo na anafahamika.
 
Leta vivid example tukuamini
 
Leta vivid example tukuamini
 
nikionaga historia ya mauji ya kimbari 1994 na yale ya holocast yalofanywa na hittler da inauma sana
 
Mkuu usitegemee ishu kama hizo nkakupa habari kamili,mimi sio mwanaharakati na familia yangu bado inanihitaji,jitahidi kufanya research kujua mzizi wa vita ya rwanda utajifunza mengi hasa wapi zilipatikana silaha zilizotumika na kwanini vikosi vwa umoja wa mataifa ambavyo vilikuwepo eneo la tukio lilishindwa kuzuia mauaji haya ilhali yalifanyika kwa zaidi ya siku 100.kuna mengine siyo yakusema humu ilhali kesi ya max bado inaendelea.
 
Nadhani mada hapa ni mauaji ya Rwanda na siyo mengine. Ila kwa vile wafuatiliaji wapo na wamekuja na maoni hayo isichukuliwe kama tunajadili Imani za watu. Tuendelee na kilichotokea Rwanda na jinsi ya kuzuia isije ikajirudia tena.

Kuhusu Middle East, inafaa tuingie kwa undani Zaidi tujue chimbuko la vita hivyo ni nini na nani yuko nyuma yake. Kama tulivyoizungumzia Rwanda. Vinginevyo tuache kuiongelea topic hii maana naona tunaelekea kwingine.
 
tanzania imeanza mdogo mdogo kuna mtu nimeona wammemuua wakamfunga kwenye baisikeli wakamzamisha majini kuna mvamizi ameanza mdogomdogo na utekaji lakini trust me hata mbuyu ulianza km mchicha tutafika tu huko
 
Ndio maana nikimsikia mtu mzima anasema "Tanzania tupigane kidogo" huwa namshangaa sana, kuna raha gani kwenye vita. Movie za Terminator zimetuharibu
 
ILA haya
Ndio maana nikimsikia mtu mzima anasema "Tanzania tupigane kidogo" huwa namshangaa sana, kuna raha gani kwenye vita. Movie za Terminator zimetuharibu[/QUOTE), hapo karibuni hali Si shwari
 
Tuweke kumbukumbu sawa. Hivi wakati mauuaji yale yanafanyika, waliokuwa madarakani walikuwa Wahutu au Watutsi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…