Mauaji Rwanda 1994

Mauaji Rwanda 1994

Najiuliza sana kwa nini mauaji mengi yamefanyika Kanisani tofauti na Misikitini au wengi walikuwa wanakimbilia Kanisani si misikitini na inasemekana waliokuwa wamejificha Misikitini wengi walipona

Je wauaji walikuwa hawaioni Misikiti au walikuwa wanaogopa kwenda?
Labda misikiti ni michache au Uislamu haukuwa umeenea kiasi cha kuaminika.
 
Kwa idadi ya waumini rwanda zaidi ya 90% wakristo.kule misikiti hakuna.so watu wengi walikimbilia makanisani.wauaji waliwafata huko huko kanisani wakawaua.
kingine ni kuwa unakuta kasisi ni mhutu na wanauliwa watusi kwachuki tuy.ivo aliweka pembeni imani yake ili auwe kikabila.iloo tuu.

Ila wewe jiulize huko middle east na kwingine wanaua kwa kumtukuza nani wa dini ipi?
Umemaliza mjadala mkuu
 
Walionusurika hawataki kabisa kukumbuka matukio hayo ya kinyama.Watu wengine waliteketeza ukoo kabisa na kufutika.
 
Nilipewa story na aliye kimbia ayo mauaji ilikuwa inatisha sana paka leo uwa atamani kurudi rwanda
Tabora zipo kambi kadhaa za wakimbizi toka Rwanda Yan wanasimulia mate so waliyopata hata hawatamani kurudi nyumbani kwao kabisa ,
Kuna mama mmoja alisema alitetekeleza mtoto porini akiwa hai ili kuokoa maisha yake akaja tanzania
 
Hapana bana
Ila lengo la mleta mada nikuonesha mzigo wa huyo marehemu hapo pichani tuuu. But vita ilitisha sana ilee
nilkuwa naweka PIA zile za mauaji ya kanisani zikagoma ntajaribu tena badae
 
Tabora zipo kambi kadhaa za wakimbizi toka Rwanda Yan wanasimulia mate so waliyopata hata hawatamani kurudi nyumbani kwao kabisa ,
Kuna mama mmoja alisema alitetekeleza mtoto porini akiwa hai ili kuokoa maisha yake akaja tanzania
Mkuu yani mm nachomba tanzania isitokee ayo majanga ni hatari sana unapoteza baba mama mjomba shangazi kaka kwa wakati mmoja ni kitu kigumu sana
 
Najiuliza sana kwa nini mauaji mengi yamefanyika Kanisani tofauti na Misikitini au wengi walikuwa wanakimbilia Kanisani si misikitini na inasemekana waliokuwa wamejificha Misikitini wengi walipona

Je wauaji walikuwa hawaioni Misikiti au walikuwa wanaogopa kwenda?
Kwenda kujificha msikitini ni kama kumkana Kristo heri hao waliokufa kuliko hao waliobaki hai kwa kujificha Msikitini
 
Hayo yalishapita kwanini ukumbushie ?au una jambo ? Forgerlty the past and forgive. Kisasi ni cha Mungu .
 
Huyo aliyefungwa mikono amejaaliwa K.LUGOLA cha mtoto.

Poleni wanyarwanda, vita ni mbaya sana! Sema haikwepeki kama haki hakuna!
 
Huyo aliyefungwa mikono amejaaliwa K.LUGOLA cha mtoto.

Poleni wanyarwanda, vita ni mbaya sana! Sema haikwepeki kama hakuna hakuna!
Hongera kwa kuwa "jf gold member" mkuu
 
Back
Top Bottom