Mauaji Nigeria

wewe nae hata sijisumbui kukujibu Tena Kama kusifia na kusujudu unaona ni sawa nimeshafahamu uwezo wako wa kufikiri unapoishia.
Kwani kusujudu ni kufanya nini??
Ni Heshima ima ibada??
 
Tena Waislam usichezee wala kutoa maneno machafu (matusi)kabisa kwa Mitume yao na kuwakejeli, unajitafutia uhasama mwenyewe. Utatafuta pakutokea, labda ujifiche nyuma ya mtandao tu, kuna ambao wakikujuwa, unalo.
Hiyo Kweli aisee ...unajua sababu ya Mimi kukimbia Dar?? kuna waislam wa mtaani kule temeke walinijua I'd ya JF...wakaanza kupanga njama Za kuniua..Baadae nilipotaarifiwa Na waliponikosa mara 1 ikabidi nitoroke nikimbilie Moshi
 
Mambo ya sharia Na kadhi hayamo kwenye Quran Wala hadith
 
Hatukatai baba Fatuma ni Mtume!
Tunacho kata Hakutumwa na Mwenyezi Mungu, Mungu Hakuna Alicho sahau hadi Amtume baba qasim na Mafundisho dhaifu...
Nani kamtuma Muhammad??
 

MARYAM - 71)
Wala hapana yeyote katika nyinyi ila ni mwenye kuifikia. Hiyo ni hukumu ya Mola wako Mlezi ambayo lazima itimizwe.

unajitahidi kuokoteza Aya ila bado Sana,,,ongeza juhudi huenda ukabahatisha kupata kile unachokitafuta.

19:66 - Na mwanaadamu husema: Hivyo, nitakapo kufa, ni kweli nitafufuliwa niwe hai tena?

19:67 - Je! Hakumbuki mwanaadamu ya kwamba tulimuumba kabla, na hali hakuwa chochote?

19:68 - Basi naapa kwa Mola wako Mlezi! Kwa yakini tutawakusanya wao pamoja na mashet'ani; kisha tutawahudhurisha kuizunguka Jahannamu, nao wamepiga magoti!

19:69 - Kisha kwa yakini tutawatoa katika kila kundi wale miongoni mwao walio zidi kumuasi Arrahmani, Mwingi wa Rahema..

19:70 - Tena hakika Sisi tunawajua vyema zaidi wanao stahiki kuunguzwa humo.

19:71 - Wala hapana yeyote katika nyinyi ila ni mwenye kuifikia. Hiyo ni hukumu ya Mola wako Mlezi ambayo lazima itimizwe.
Read that again kwa sauti,,,Kama bado hujaelewa uliza usaidiwe.

Hiyo Mungu mmoja kwa watatu imeandikwa wapi kwenye Biblia Takatifu-----sasa unaniuliza Mimi Tena sio wewe ndo uoneshe wapi pameandikwa Mungu Ni mmoja kwa watatu maana mimi nimetafuta sijaona na Wala Yesu hajafundisha Sasa nyie ya Mungu na utatu mtakatifu mmeutoa wapi Kama kwenye biblia haijaandikwa??


Qulaani inasema Asie Amini Kitabu Anacho Tumia Paulo Mtume Shabab wa Yesu Amepotea tena mbali!

يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا آمِنُوا بِاللَّهِ وَرَسُولِهِ وَالْكِتَابِ الَّذِي نَزَّلَ عَلَىٰ رَسُولِهِ وَالْكِتَابِ الَّذِي أَنزَلَ مِن قَبْلُ ۚ وَمَن يَكْفُرْ بِاللَّهِ وَمَلَائِكَتِهِ وَكُتُبِهِ وَرُسُلِهِ وَالْيَوْمِ الْآخِرِ فَقَدْ ضَلَّ ضَلَالًا بَعِيدًا

[ AN-NISAAI - 136 ]
Enyi mlio amini! Muaminini Mwenyezi Mungu, na Mtume wake, na Kitabu alicho kiteremsha juu ya Mtume wake, na Kitabu alicho kiteremsha kabla yake. Na anaye mkataa Mwenyezi Mungu, na Malaika wake, na Vitabu vyake, na Mitume wake, na Siku ya Akhera, basi huyo amekwisha potelea mbali

miongoni mwa waliopotelea mbali wewe mmoja wapo Quran inamtambua Muhammad Kama mtume wa Mwenyezi Mungu ,, vipi wewe?? Quran inamtambua Yesu kama mtume,, vipi wewe?? Yesu hamtambui Paulo Kama mwanafunzi wake achilia mbali kua mtume wake'' vipi wewe au Kama kuna andiko Yesu akiwaagiza mumuamini Paulo Kama mtume leta,,,
 

""Watakapowaudhi katika mji huu, kimbilieni mwingine kwa maana ni kweli nawaambieni, Hamtaimaliza mji yote ya Israeli hata ajapo mwana wa Adamu (Matt.10:23).""

sasa nikuulize wewe maneno hayo aliyasema Nani?? mwana wa Adam anayezungumziwa hapo ni nani?? Kama Ni yesu je amesharudi ama bado?? Kama bado hajarudi hapo anasema hawataimaliza miji ya Israel mpaka atakaporudi,,,au unataka kutuaminisha kufufuka ndo kurudi kwa mwana wa Adam?? au tuseme yesu ndo muongo maana bado hajarudi lkn wanafunzi wameshaimaliza Israel na Sasa wanaendea mataifa,,,

Ona hii

Mt 5:18 SUV​

Kwa maana, amin, nawaambia, Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka, yodi moja wala nukta moja ya torati haitaondoka, hata yote yatimie.

lakini yeye Paulo anasema hampo Tena chini ya sheria ya Musa/torati yani Paulo sio kaondoa yodi moja au nukta yeye katengua karibia torati yote,,,, Sasa hapo Nani muongo Kati ya yesu na Paulo,,, Kama mafundisho ya Paulo Ni ya kweli Basi mnatuthibitishia kua hamumuamin yesu na Ni muongo maana mbingu na nchi bado zipo na torati imetenguka,,,Kama mnamuamin yesu Basi Pauli muongo hakupewa utume na yesu maana mafundisho yao yanakinzana.
 



Ona unavyo jibu kikafir kafir

Hiyo aya inawahusu walio amini(المؤمنين) sio watu( اشخاص)
Weka andiko ww Paulo sio Mtume wa Yesu!
Halafu nipe sababu ya kushuka suratul Rumi

,
 
Hatukatai baba Fatuma ni Mtume!
Tunacho kata Hakutumwa na Mwenyezi Mungu, Mungu Hakuna Alicho sahau hadi Amtume baba qasim na Mafundisho dhaifu...
Nani kamtuma Muhammad??
Yeye aliyemtuma Daudi,,, Ibrahim,,, Nuh,, Yona,, Musa,, na yesu na wengineo ndiye aliyemtuma Muhammad,,Wala hakusahau kitu alipomtuma musa na taurat baada ya kwisha mtuma Daudi na zaburi,,pia hakusahau kitu alipomtuma Yesu na injili baada ya kwisha mtuma Musa na taurat,,,na hajasahau kitu alipomtuma Muhammad na Quran baada ya kumtuma yesu na injili,,,na kusahau na udhaifu Ni sifa ya viumbe vyake.
 
wewe unayemuamin Paulo weka andiko yesu anasema Paulo Ni mtume wake,,,

wewe ndo unayejibu kikafiri eti Aya inasema walioamin sio watu,,,Sasa wanaoamin Ni kina Nani Kama sio watu,,,,

suratul al-Rum kwa ufupi,,
inaanza kwa Mwenyezi Mungu kusimulia kushindwa kwa dola ya warumi dhidi ya waajemi,,Kisha Ahadi ya Mwenyezi Mungu kwa waumini kwamba atawapa ushindi dhidi ya waajemi,,

Kisha Mwenyezi Mungu akawageukia waumini na wasio waumini wa mji wa macca na kuwataka watembee wajionee mini mingine ya wale waliokua wameendelea zaidi walivyoangamizwa na Mwenyezi Mungu kwa uovu wao

Kisha sura ikaelezea siku ya kiama Hali itavokua na kuwasihi waumini kumuabudu Mwenyezi Mungu asubuhi mchana n jioni na ikaelezea ulimwengu na uumbaji wake kama ishara ya uweza wake

Kisha ikaeleza kuhusu kuomba toba,,kushika Sala,,kujiepusha na ushirikina,,kutenda haki dhidi ya jamaa,,maskini na wasafiri,,ikaelezea kuhusu riba,,zaka na ufisadi

Kisha sura ikaelezea nguvu za uweza wa Mwenyezi mungu ktk kuendesha ulimwengu akatumia mfano nguvu yake ktkaupepo,,,kufa na kufufuka kwa mazao ardhini,,na ukuaji kutoka utoto Hadi uzee,,

Kisha Mwenyezi Mungu akaelezea utofauti wa Hali za wakosefu na wale waliopewa elimu na iman zitavokua siku ya kiama


Kisha Mwenyezi Mungu akahitimisha kwa kumtaka mtume kua na subra juu ya ahadi ya Mwenyezi Mungu na asitishwe na wale wasio na iman.

Sasa ndugu Ni Aya ipi iliyo kutatiza usaidiwe.
 
Dawa ni kutafuta hiyo video na kutambua wauaji wote walioshiriki, msako unaanza kwa siri mmoja baada ya mmoja na kila anayeshikwa ni kuchoma moto LIVE na kurusha video zao mitandaoni ili wenzao waelewe wakiua nao watauawa na kwa mateso mara 100
 
Kuna jamaa mmoja mama yake aliuawa kijijini na wanakijiji kwa tuhuma za kusingiziwa uchawi, jamaa alichofanya aliunda kikosi kazi cha siri bila mtu yeyote kujua, waliwatambua wote waliohusika na mauaji ya mama yake, kwa siri aliwasafisha zaidi ya 50 na viongozi wote wa kijiji waliokuwa wana support mauaji ya wachawi, kwa ufupi mauaji ya tuhuma za uchawi yalikoma na hayakurudi tena na watu wakaanza kuheshimiana
 

Huna Sifa wala Mamlaka ya kunitakia Amani!

Kwani qulaani ni maneno ya nani??
Nakualika uje madrasat Nuur Bahari Jannat kwa Maalim Jabir kwa Mtogole Upate Ilimu Ghaibu dogo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…