wewe ndo hueleweki ona umetoka Nigeria ukaenda uarabuni Sasa umehamia Russia,,,na hata hujielewi mnaeabudu mtu Ni nyie kuanzia yesu Hadi Papa huko Vatican atakalosema ndo hilo hilo. na hata hujui tofauti ya kuabudu na kuunga mkono.halafu siku hizi naona nyote wa dini hiyo ya waarabu mnamuabudu kafir Putin ghafla, hehehe hamueleweki.....
wewe ndo hueleweki ona umetoka Nigeria ukaenda uarabuni Sasa umehamia Russia,,,na hata hujielewi mnaeabudu mtu Ni nyie kuanzia yesu Hadi Papa huko Vatican atakalosema ndo hilo hilo. na hata hujui tofauti ya kuabudu na kuunga mkono.
Kambishie Huyu aliyesema!wewe ndo hueleweki ona umetoka Nigeria ukaenda uarabuni Sasa umehamia Russia,,,na hata hujielewi mnaeabudu mtu Ni nyie kuanzia yesu Hadi Papa huko Vatican atakalosema ndo hilo hilo. na hata hujui tofauti ya kuabudu na kuunga mkono.
wewe mwenye elimu unashabikia Nini?? you think you know about Islam but you know Not Yan mtupuuu,,.jibu lako Hilo Hapo chini kutoka kwenye Quran;Kambishie Huyu aliyesema!
۞ لَتَجِدَنَّ أَشَدَّ النَّاسِ عَدَاوَةً لِّلَّذِينَ آمَنُوا الْيَهُودَ وَالَّذِينَ أَشْرَكُوا ۖ وَلَتَجِدَنَّ أَقْرَبَهُم مَّوَدَّةً لِّلَّذِينَ آمَنُوا الَّذِينَ قَالُوا إِنَّا نَصَارَىٰ ۚ ذَٰلِكَ بِأَنَّ مِنْهُمْ قِسِّيسِينَ وَرُهْبَانًا وَأَنَّهُمْ لَا يَسْتَكْبِرُونَ
[ AL - MAIDA - 82 ]
Hakika utawakuta walio shadidi kuliko watu wote katika uadui kwa walio amini ni Mayahudi na washirikina. Na utawakuta walio karibu mno kwa mapenzi ni wale wanao sema: Sisi ni Wakristo Hayo ni kwa sababu wapo miongoni mwao wacha Mungu na wasomi, na kwa sababu wao hawafanyi kiburi.
Tatizo ilimu huna hadi unashabikia deen ya warabu
وَكَذَٰلِكَ أَوْحَيْنَا إِلَيْكَ قُرْآنًا عَرَبِيًّا لِّتُنذِرَ أُمَّ الْقُرَىٰ وَمَنْ حَوْلَهَا وَتُنذِرَ يَوْمَ الْجَمْعِ لَا رَيْبَ فِيهِ ۚ فَرِيقٌ فِي الْجَنَّةِ وَفَرِيقٌ فِي السَّعِيرِ
[ ASH-SHUURA - 7 ]
Na namna hivi tumekufunulia Qur'ani kwa Kiarabu ili uwaonye watu wa Mama wa Miji na walio pembezoni mwake. Na uhadharishe na Siku ya Mkutano, haina shaka hiyo. Kundi moja litakuwa Peponi, na kundi jengine Motoni.
وَأَنذِرْ عَشِيرَتَكَ الْأَقْرَبِينَ
[ ASH-SHUA'RAA - 214 ]
Na uwaonye jamaa zako walio karibu nawe.View attachment 2240761
Kama mimi mtupuu kambishie qulaani iliyosema mimi Msomi!wewe mwenye elimu unashabikia Nini?? you think you know about Islam but you know Not Yan mtupuuu,,.jibu lako Hilo Hapo chini kutoka kwenye Quran;
3:7 - Yeye ndiye aliye kuteremshia Kitabu hichi. Ndani yake zimo Aya muhkam, zenye maana wazi. Hizo ndizo msingi wa Kitabu hichi. Na ziko nyengine za mifano. Ama wale ambao nyoyoni mwao umo upotovu wanafuata zile za mifano kwa kutafuta fitna, na kutafuta maana yake; na wala hapana ajuaye maana yake ila Mwenyezi Mungu. Na wale wenye msingi madhubuti katika ilimu husema: Sisi tumeziamini, zote zimetoka kwa Mola wetu Mlezi. Lakini hawakumbuki hayo isipo kuwa wenye akili,,.
Quran ilishuka kidogo kidogo kwa miaka 23 na kwa matukio maalumu,,Ni kawaida yenu watu Kama wewe kutafuta aya za mifano,,mafumbo na zenye maana mbili na kuzitafsiri vile mpendavyo SI kwa ajili ya kujifunza bali kuleta fitna na Allah alishawatambua kitambo na kutufahamisha tabia yenu hii,,Kama Allah kakuita mjinga huna akili Mimi Ni Nani hata nijisumbue kukufahamisha maana ya aya hizo,,,huna akili hata ukielezewa hutoelewa kamwe. so acha Mimi nisiye na elimu nishabikie dini ya mwarabu na wewe msomi ushabikie unachoshabikia Kama Ni dini ya mzungu au ya babu yako au umebuni ya kwako freshi,, kama kuna sehemu panapokuuma tukimshabikia mwarabu pole dawa hakuna utakufa na maumivu yako.
kwanza kabisa sio qulaani Ni Qur'an najua unajua ila unafanya kusudi (kibri).Kama mimi mtupuu kambishie qulaani iliyosema mimi Msomi!
۞ لَتَجِدَنَّ أَشَدَّ النَّاسِ عَدَاوَةً لِّلَّذِينَ آمَنُوا الْيَهُودَ وَالَّذِينَ أَشْرَكُوا ۖ وَلَتَجِدَنَّ أَقْرَبَهُم مَّوَدَّةً لِّلَّذِينَ آمَنُوا الَّذِينَ قَالُوا إِنَّا نَصَارَىٰ ۚ ذَٰلِكَ بِأَنَّ مِنْهُمْ قِسِّيسِينَ وَرُهْبَانًا وَأَنَّهُمْ لَا يَسْتَكْبِرُونَ
[ AL - MAIDA - 82 ]
Hakika utawakuta walio shadidi kuliko watu wote katika uadui kwa walio amini ni Mayahudi na washirikina. Na utawakuta walio karibu mno kwa mapenzi ni wale wanao sema: Sisi ni Wakristo Hayo ni kwa sababu wapo miongoni mwao wacha Mungu na wasomi, na kwa sababu wao hawafanyi kiburi.
Pole pole dogo usimwage povu!
Nielimishe hapa!
Qulaani ni maneno ya nani
kwanza yeye Ni "mtume" kiwango chake Cha Imani,,subra na uvumilivu hakiwezi kulingana na watu wa kawaida,,ndio maana walitaka kumpiga "akazuia" in maana asingekuepo yule aliyekojoa angepigwa ,hivo msituchokoze makusudi mkakojoa msikitini mkidhani WAISLAMU wote wana kiwango sawa Cha Imani,,uvumilivu na subra,, hata tujitahidi vipi hatuwezi kufikia level ya "mtume" utapigwa bakora.Hao ni waisiharamu wamejaa hata tz ....wakati wa muhamad kuna mtu alikojoa ndani ya msikiti yeye akazuia asipigwe hii ndiyo tofauti ya waislamu na waisiharamu
wewe nae hata sijisumbui kukujibu Tena Kama kusifia na kusujudu unaona ni sawa nimeshafahamu uwezo wako wa kufikiri unapoishia.Sipo Nigeria, nipo kwenye hilo la waarabu ambalo huwa limewachizisha na kuwzombisha hadi mnajilipua mabomu, halafu nimeshangaa sana namna ambapo nyote leo mnamsujudia kafir Putin, sijakutana na muumini wa dini yenu hata mmoja ambaye hamsifii Putin
wewe nae hata sijisumbui kukujibu Tena Kama kusifia na kusujudu unaona ni sawa nimeshafahamu uwezo wako wa kufikiri unapoishia.
Sawa, ahsanteHa ha ha!! Wewe mvaa likanzu na kulea mindevu na kuongea kiarabu ili ufanane na waarabu una uwezo kiakili, nimeshangaa sana kumbe hao waarabu wanawaona takataka
kuvaa likanzu na kua na ndevu kabla hatujaiga waarab tumemuiga kwanza Yesu au unataka kusema ile ya Yesu sio kanzu Ni gauni au dera?? au alivaa suti na moka?? Huyo muarabu anayetuona takataka Hana dhamana na uislam na yeye sio mtume na neno lake sio Quran wala sunna,,,Kama mtu wa kwanza aliyepewa jukumu la kuadhini na "Mtume" alikua mwafrika mweusi Tena aliyemtoa ktk utumwa,,,huyo mwarabu Ni mjinga Kama wajinga wengine,,,at least huyo mwarabu Hana dhamana yoyote ktk uislam vipi nyie mliokataliwa na kuitwa "mbwa" na mwenye dhamana na hiyo dini mnayoing'ang'ania,,Ha ha ha!! Wewe mvaa likanzu na kulea mindevu na kuongea kiarabu ili ufanane na waarabu una uwezo kiakili, nimeshangaa sana kumbe hao waarabu wanawaona takataka
Tutukane sis ukimtukan mtume wetu sis tunakuuwa sasa tuache kutii amri ya mola wetu tukutii wewe khabith ??
Hii haipaswi kuitwa dini, Mchague moja tuwaite Magaidi Au Kikundi cha wauaji kwa sababu mmekosa sifa za kuitwa diniNikuulize wewe wakati Uislam ndiyo mfumo pekee wa maisha uliokamilika. Jifikirie kaba hujaropoka.
kuvaa likanzu na kua na ndevu kabla hatujaiga waarab tumemuiga kwanza Yesu au unataka kusema ile ya Yesu sio kanzu Ni gauni au dera?? au alivaa suti na moka?? Huyo muarabu anayetuona takataka Hana dhamana na uislam na yeye sio mtume na neno lake sio Quran wala sunna,,,Kama mtu wa kwanza aliyepewa jukumu la kuadhini na "Mtume" alikua mwafrika mweusi Tena aliyemtoa ktk utumwa,,,huyo mwarabu Ni mjinga Kama wajinga wengine,,,at least huyo mwarabu Hana dhamana yoyote ktk uislam vipi nyie mliokataliwa na kuitwa "mbwa" na mwenye dhamana na hiyo dini mnayoing'ang'ania,,
"Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya lsraeli"(Matt. 15:24)
"Mimi nawaambieni, ya kwamba ninyi mlionifuata katika zamani za kuzaliwa upya atakapoketi Mwana wa Adamu katika kiti cha utukufu wake ninyi nanyi mtaketi katika viti thenashara. Mkiwahukumu kabila thenashara za Israeli (Matt. 28:19)"
"Tena, Si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa (Matt. 15:26
"Hawa thenashara Yesu aliwatuma akawaagiza, akinena, katika njia ya mataifa msiende wala miji mwa Wasamaria msiingie; Afadhali shikeni njia kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli (Matt. 105-6)""
""Watakapowaudhi katika mji huu, kimbilieni mwingine kwa maana ni kweli nawaambieni, Hamtaimaliza mji yote ya Israeli hata ajapo mwana wa Adamu (Matt.10:23).""
Wakuone malaika wakuone takataka, wewe hilo linakupunguzia nini au linakuzidishia nini kwa Mungu wako?
Tsk!
Halafu kwani waarabu wao ni wakina nani? Au ni Miungu watu? Kuipamba hoja yako katika hilo naonelea waungane na wazungu, wahindi, waafrika, wachina na wengine, huenda kundi unalolishambulia litageuka na kuwa takataka kweli
Maneno ya Dr. Al-Arifi hayo au siyo? Au ni ya Shaykh Al-Afifi? Si kila mnachokutana nacho kwenye mitandao na kukisoma ni authentic, fanyeni bahth kwenye marejeo
Jaalia hiyo meme aliyolishwa Al-Arifi ni kweli tupu! Tujenge hoja huwezi jua bwana naye ni binadamu, ila kati ya hayo maneno yanayotuhumiwa ni ya Al-Arifi na haya yaliyonukuliwa kwenye Biblia Takatifu kwamba ni matamshi ya Yesu ni yapi makali zaidi?
Mathayo 16:23
Yesu aligeuka na kumwambia Petro, "Ondoka mbele yangu, Shetani! Wewe ni kikwazo kwangu ..."
Nitaifuata hii post kabla ya saa 0700 kesho panapo majaaliwa
Naona unajitutumua. Ipi inayofaa kuitwa dini?Hii haipaswi kuitwa dini, Mchague moja tuwaite Magaidi Au Kikundi cha wauaji kwa sababu mmekosa sifa za kuitwa dini
1+1+1=1Leo unayavaa makanzu ya nini tena kwa mazingira yetu ya Kiafrika, halafu unaongea ongea kiarabu hapo na mindevu, mbona mnaonekana kama majuha...
SawaHao waarabu ndio waliwaletea hiyo dini mnayotupigia makelele kuihusu, leo wanawaona wa hovyo mlivyonogewa na kujilipua mabomu....
Wewe siulikimbia, bado una nyege za kidini, tuebdelee hehehe!1+1+1=1
3=1
3-1=1
1+1-1=1
1=2=3=1
hatari,,hesabu hii huipati popote ila kanisani.
kwanza kabisa sio qulaani Ni Qur'an najua unajua ila unafanya kusudi (kibri).
pili Aya imesema walio karibu mno kwa mapenzi,,wapo miongoni mwao,,,wasomi na wachamungu,,,na hawafanyi kiburi,,,
niambie wewe una fit wapi hapo?? huna mapenzi kwa waislam Wala chochote kinachohusiana na uislam,,,Nina mashaka na elimu na uelewa na uchamungu wako,,,umejaa kiburi mfano mzuri kuniita "dogo" na hunijui sikujui,, neno miongoni mwao haimaanishi wote wewe Ni wale the rest waliojaa kiburi mtafutao Aya za mifano na kuweka maana zenu kwa fitna,,,wasomi Ni wale wakisomewa Aya za Quran wanazitafutia maana with an open mind Kati yao Ni mapriest na scientist na wale WAKRISTO wa mwanzo waliofuata mafundisho halisi ya yesu ya Mungu mmoja na sio nyie mlioamua kufuata mafundisho ya Paulo ya kipagani ya Mungu Ni mmoja kwa watatu na watatu kwa mmoja,,na kufanyia marekebisho ukristo/ mafundisho ya yesu Kila kuitwapo leo.
Nilifikiri nina-chat na mtu muelewa kuhusu deen/Imani kumbe ni mshabiki fulani tu!kuvaa likanzu na kua na ndevu kabla hatujaiga waarab tumemuiga kwanza Yesu au unataka kusema ile ya Yesu sio kanzu Ni gauni au dera?? au alivaa suti na moka?? Huyo muarabu anayetuona takataka Hana dhamana na uislam na yeye sio mtume na neno lake sio Quran wala sunna,,,Kama mtu wa kwanza aliyepewa jukumu la kuadhini na "Mtume" alikua mwafrika mweusi Tena aliyemtoa ktk utumwa,,,huyo mwarabu Ni mjinga Kama wajinga wengine,,,at least huyo mwarabu Hana dhamana yoyote ktk uislam vipi nyie mliokataliwa na kuitwa "mbwa" na mwenye dhamana na hiyo dini mnayoing'ang'ania,,
"Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya lsraeli"(Matt. 15:24)
"Mimi nawaambieni, ya kwamba ninyi mlionifuata katika zamani za kuzaliwa upya atakapoketi Mwana wa Adamu katika kiti cha utukufu wake ninyi nanyi mtaketi katika viti thenashara. Mkiwahukumu kabila thenashara za Israeli (Matt. 28:19)"
"Tena, Si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa (Matt. 15:26
"Hawa thenashara Yesu aliwatuma akawaagiza, akinena, katika njia ya mataifa msiende wala miji mwa Wasamaria msiingie; Afadhali shikeni njia kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli (Matt. 105-6)""
""Watakapowaudhi katika mji huu, kimbilieni mwingine kwa maana ni kweli nawaambieni, Hamtaimaliza mji yote ya Israeli hata ajapo mwana wa Adamu (Matt.10:23).""