holy spirit
JF-Expert Member
- Nov 30, 2020
- 884
- 1,400
Lakini maneno ya voice message yaliwakera wafuasi wa mtumeMbona aionyesh kama amedhihaki.
Alafu Dini zenyewe tuliletewa.Hawa watu ambao huua wenzao kwa sababu ya Allah/Mungu Mimi huwashanga, kwanini huyo Allah/Mungu asijipiganie mwenyewe maana tuanambiwa ni Mkuu na muweza wa yote!!!
Ukiwakuta wanavyotoa macho halafu ndevu hawanyoi hadi unashangaa.Alafu Dini zenyewe tuliletewa.
Sorry nililenga kutumia neno kukufuru sio kukejeliMbona aionyesh kama amedhihaki.
Wapi pameandikwa hayo uyasemayo? Au huelewi kusoma? Au kinachoandikwa ni lazima ukibadili kwa ujinga wako tu?Hawa watu ambao huua wenzao kwa sababu ya Allah/Mungu Mimi huwashanga, kwanini huyo Allah/Mungu asijipiganie mwenyewe maana tuanambiwa ni Mkuu na muweza wa yote!!!
Tena Waislam usichezee wala kutoa maneno machafu (matusi)kabisa kwa Mitume yao na kuwakejeli, unajitafutia uhasama mwenyewe. Utatafuta pakutokea, labda ujifiche nyuma ya mtandao tu, kuna ambao wakikujuwa, unalo.Mwanafunzi wa kike Debora Samuel (baadhi ya taarifa kaitwa Debora Yakubu) wa chuo cha elimu cha Shehu Shagari kilichopo Sokoto state nchini Nigeria ameuwawa na wanafunzi wenzake kwa kupigwa mawe na kisha mwili wake kuchomwa moto. Wanafunzi hao waliotekeleza mauaji walimtuhumu hayati kwa kitendo cha kumdhihaki/kumkejeli mtume kupitia voice message aliyotuma kwenye group la WhatsApp akiwazuia wenzake kutuma taarifa za dini kwenye group lililotengenezwa kwa ajili ya maswala ya kozi wanayosomea tu.
Baadhi ya picha za tukio ikiwemo ya kijana akionyesha kiberiti alichotumia kuwasha moto kuchoma mwili wa Debora pamoja na picha inayoonyesha maneno ambayo Debora alitamka kwenye hiyo voice message hizo apo.View attachment 2223080View attachment 2223079View attachment 2223082View attachment 2223081
Uislam ni nini madam?Tena Waislam usichezee wala kutoa maneno machafu (matusi)kabisa kwa Mitume yao na kuwakejeli, unajitafutia uhasama mwenyewe. Utatafuta pakutokea, labda ujifiche nyuma ya mtandao tu, kuna ambao wakikujuwa, unalo.
Nini hatima ya muislam kumuua mtu aliyeudhihaki uislam, kwa nn asimfundishe au kumwelekeza na anamuua nini faida yake? Lazima watu wote wafuate kile waislam wanakitaka?Tena Waislam usichezee wala kutoa maneno machafu (matusi)kabisa kwa Mitume yao na kuwakejeli, unajitafutia uhasama mwenyewe. Utatafuta pakutokea, labda ujifiche nyuma ya mtandao tu, kuna ambao wakikujuwa, unalo.
Soma vizuri post namba moja kilichodhihakiwa ni nini, usitie maneno yako kubadilisha kilichoandika, ni ujinga huo. Sijaona mahali kwenyeb post namba 1 kama ulivyoandika wewe kuwa "aliyeudhihaki Uislam".Nini hatima ya muislam kumuua mtu aliyeudhihaki uislam, kwa nn asimfundishe au kumwelekeza na anamuua nini faida yake? Lazima watu wote wafuate kile waislam wanakitaka?
Tena Waislam usichezee wala kutoa maneno machafu (matusi)kabisa kwa Mitume yao na kuwakejeli, unajitafutia uhasama mwenyewe. Utatafuta pakutokea, labda ujifiche nyuma ya mtandao tu, kuna ambao wakikujuwa, unalo.