Mauaji ndani ya msikiti wa Chumo

“Jeshi letu la polisi liko imara kulinda usalama wa nchi raia na mali zao, endeleeni kufanya kazi nami nipo nyuma yenu” -Baba mwenye nyumba
Mtakayoamua na myaamue nami nitawaunga mkono.
 
Kwani ukiwepo msikitini shida iko wapi?kwani nchii hii ina mda wa kua sehem maalum kwa mda maa
lumu?acha unafki na kushadadia mambo mabaya kwakua hayajakukuta...
Wakimaliza kwetu wanakuja kwako....
Mimi ni muislam lakini katika hili lazima iwekwe wazi kwamba saa saba usiku waumini walikuwa wanafanya nini msikitini?
Nalaani mtindo huu wa jeshi la polisi kutenda kazi zao hovyo hovyo.
 
You are a fundamentalist and fundamentalism is a straight jacket
 
Usifikiri dhulma hii itaendelea kwa waislamu peke yao milele. Ipo siku dhulma hii itahamia kwengine pengine upande wako. Tujitahidi sana kujiepusha kushangilia wanapotendewa wenzetu yale ambayo lau kama tungetendewa sisi tusingependa.

Sijui kwanini unashangilia wenzako wanavolia, are you a sadist?? Waislam walikutendea nini hasa kibaya kilichotokana na uislamu wao?? Chuki si jambo jema, tuishi kwa kupendana na kuhurumiana licha ya tofauti ya imani zetu, ni kwa namna hii tu ndio amani itatamalaki zaidi nchini.
 
Acheni unafiki. Saa saba usiku mlikua mnafanya nini mskitini kama sio uhuni ?
aiseeee.
nimekushusha cheo kwa hiyo koment yako.
kwani hao wakristo wanaokesha kutupigia madumu huko makanisani usiku mzima tena hawajali wako kwenye makaz ya watu et kwakisimgizio mungu anashuka wao hua wanafanya nin?
acha chuki za kidini hazijengi mkuuu
 
Eeeh ndevu zimenyolewa kwa moto ? Ili zisiote tena au ? Kwani hizo ndevu ndio SMG ? Hakika kuna kiza kikuu mbele yetu ..ukitokea upenyo tu wa nusu inchi hii nchi inasambaratika .
 
Mimi ni muislam lakini katika hili lazima iwekwe wazi kwamba saa saba usiku waumini walikuwa wanafanya nini msikitini?
Nalaani mtindo huu wa jeshi la polisi kutenda kazi zao hovyo hovyo.
sina hakika kama ww ni muislamu. Hivi swala za tahajud unaelewa maana yake? Kifupi ni kuwa ktk uislam kuna swala za usiku ambazo ni sunna. Kawaulize walimu wako
 
Well said
 
Maneno ya kipumbavu ya kuunga mkono mauaji na manyanyaso wanayofanyiwa hawa waislamu na maiti zote zilizo okotea kwenye maviroba ni waislamu waliouliwa
Halafu tuluvyo wanafiki eti nchi ya amani hakuna amani yoyote nchi hii. Na hao wanaofanyiwa huu umyama ni binadamu wenzenu na ni watanzania lakini tofauti iliyopo ni sio wakanisa. Kwa hii ni jinsi gani nchi hii ilivyo na ubaguzi wa dini.
 
watanzania wanaoupinga huu uislamu hata hatuelewi kitu gani kimetokea.mpaka wametokea kuchukiwa na baadhi ya wakiristo kiasi hiki na kama ni huo ugaidi tunajiuliza ni ugaidi upi waislamu wa tanzania walioufanya kwa watanzania wenzao? Au ubaya gani Waislamu wa Tanzania waliofanyia wasio waislamu Tanzania kiasi cha kuchukiwa hivi au ni chuki tu ambazo pengine wamefundishwa na viongozi wao wa dini maanake hatuwaelewi hawa wenzetu. Yaani watu wanasherekea na kuunga mkono manyanyaso na mauaji waliofanyiwa watanzania wenzao hii inasikitisha sanaa. Tunakoelekea ipo siku tutajuta.
 
Mimi ni muislam lakini katika hili lazima iwekwe wazi kwamba saa saba usiku waumini walikuwa wanafanya nini msikitini?
Nalaani mtindo huu wa jeshi la polisi kutenda kazi zao hovyo hovyo.
Kuwatesa na kuua waumini eti kwakuwa umewakuta msikitini usiku siyo utetezi. Uislsmu una ibada za usiku " KIAMLAILI". Pia misikitini ndipo wanapofikia kulala watu TABLIH. Lakini kama alivyoandika chige, wale wanaodai ni ugaidi waseme juu Ben Saanane na Tundu Lissu nao ni Magaidi?
 
Thibitisha?
 
Hahahaaaa jamaaa kanyolewa ndevu kwa moto???
 
Leo kwa mwenzio, kesho kwako kama jana ilivyokuwa kwa Lissu
 
Mleta uzi umeongea vema sana tena kwa upole na upendo japo umeleta ujumbe mzito na wa kuumiza moyo.
Tunakoelekea sio salama tusipobadilika kama taifa na viongozi wenye dhamana
Tatizo ni mfumo wa jeshi la polisi. Polisi ni msimamizi na mwangalizi wa sheria. Ukimweka kijana aliyefeli form 4 unategemea atakuwa msimamizi mzuri wa sheria? Jeshi la polisi lingeundwa na wasomi ya ngazi ya degree na hawa form 4 failures wangepelekwa jwtz. Km mtu kashindwa kujisimamia mwenyewe unategemea akusimamie ww? Never
 
Umemaliza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…