Mauaji Moshi: RC Mghwira asema utaratibu wa kukanyaga mafuta uliandaliwa vizuri ila vibaka walivamia kutokea nje na kusababisha maafa

Wananchi wanasema kuwa aliyetenda kafanya kafara
20 Kilimanjaro
20 Lindi ( japo haya ni Maafa ya mvua tuyaache)

Wadanganyika wanahoji mbona kama mkubwa kawa mpole Sana kwa Mwampo ; sio kawaida yake ; hata ikitokea ajali huwa anakemea hadi mawaziri kama Ilivyokua Mwigulu
Imekuwaje mauwaji ya Moshi kawa mpole hajakemea lolote hadi kwenye salaaaam za mwanzo hadi za leo za Mkuu wa mkoa

Hilo “kafara” aloenda kufanya mwampo alikua anamfanyia nani ; hata hakuona kuwa alichofanya mwampo kutoroka haikua ustaarabu? ?
Kweli hana la kukemea ? Anasema viongozi waachwe wafanye kazi zao ???!!!!!

Waliokufa hawana dhamani au damu yao ndio ilihitajika ....

Watu wakifikiria vibaya watakua wanakosea ?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
RC YUKO SAHIHI.kuna mama moja akijieleza anasema alisukumwa akaanguka eneo hilo wakachukua pochi na simu na viatu vyake akiwa chini akasema wanawake wengi waliporwa vitu vyao pochi ,simu nk
Binti mmoja ambaye ni muhanga wa tukio amesema kila alipotaka kuinuka baada ya kuanguka alishtukia anapigwa makofi na kukandamizwa asiinuke!
 
Sababu zote zimeelezwa na RC wa Kilimanjaro na kuwekwa sawa, kwa maelezo haya Mwamposa hana kosa lolote,
Mungu prove wrong watu walio kuwa wana msema vibaya mtume, sio bure hapa, walio vamia watakuwa walitumwa kuja kumchafua mtume,

Kama kwenye hili mwamposa hata la kukemewa hana basi waliokufa “sio watu “ ni “Sadaka” na waliokaaa kimya wanajua ya nani alimtuma
 
Back
Top Bottom