Hivi huko Lindi huwa kuna jeshi la polis??
Yaani watu wanauawa tu na polisi hawatoi majibu wala maelezoHakuna, kwani vipi?
Yaani watu wanauawa tu na polisi hawatoi majibu wala maelezo
Mwili wa mwanamke umeokotwa leo (akiwa amekufu) "alibakwa, macho yakatobolewa, akaingizwa 'vijiti' sehemu za siri na kutupwa kichakani".
"Ni mwanamke wa 3 - kukutwa katika hali hiyo"......!
Chanzo: MCL [push mobile]
Hivi huko Lindi huwa kuna jeshi la polis??
Ni kwanini binadamu anaweza kufanya unyama wa aina hii dhidi ya binadamu mwenzake? Hata simba hawezi kufanya hivyo. Baada ya hapo anakuwa na furaha gani duniani? Na yeye si kuna siku ataondoka? Inasikitisha sana na kuudhi sana. Zamani watu walikuwa wanajilinda dhidi ya wanyama wakali kama simba, chui na fisi. Leo binadamu anajilinda dhidi ya binadamu mwenzake! Ee Mungu uwape stahili yao watesaji na wauaji hao. RIP mama/dada!Mwili wa mwanamke umeokotwa leo (akiwa amekufu) "alibakwa, macho yakatobolewa, akaingizwa 'vijiti' sehemu za siri na kutupwa kichakani".
"Ni mwanamke wa 3 - kukutwa katika hali hiyo"......!
Chanzo: MCL [push mobile]
Sawa na mumeo