X factor
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 1,425
- 2,274
Uwe unanikumbuka basi 😆Sijakutag😅😅aloo nisamehe nilisahau vipi
Uwe unanikumbuka basi 😆Sijakutag😅😅aloo nisamehe nilisahau vipi
Acha kuwe kwa moto huenda maswali magumu yaliyokosa majibu yakapatiwa majibu katika hali ya dharura,kama ile miswaada ya hati ya dharura.Leo kwa moto humu
Sawa sawaUwe unanikumbuka basi 😆
Umekopi na kupesti bila ya kuweka maoni yako.Katika saa ya saba ya siku ya saba wa wiki, upepo wa mashariki utapiga bila huruma, ukitikisa matawi ya mti wa bluu uliochomekwa kwenye ardhi ya dhahabu."
Kiti cha mkongwe kimeanza kunyauka chini kwa chini, japo maua bado yanatabasamu mbele ya hadhira.