Maua mazuuuri yapendeza

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,258
images.jpg
images.jpg
 
Huu ni mradi wa mafisadi na serikali kuufadhili kwa kuwapa GUARANTEE wahusika ya kukopa benki ni kwenda kinyume na azma ya MAGUFULI ya kuthibiti na kuutokomeza ufisadi!!
 
Huu ni mradi wa mafisadi na serikali kuufadhili kwa kuwapa GUARANTEE wahusika ya kukopa benki ni kwenda kinyume na azma ya MAGUFULI ya kuthibiti na kuutokomeza ufisadi!!
na magufuli mwenyewe si kashika usukani?
 
ni ukweli milango yake iko kushoto upande wa dereva na vituo viko upande wa kulia?

swissme
 
Nasikia yaliazimwa China kwa ajili ya kampeni, baada ya hapo yamerudishwa na kubaki machache ya geresha. Ccm ni wachawi sana.
 
Back
Top Bottom