Kongosho JF-Expert Member Mar 21, 2011 35,999 24,176 Jul 23, 2014 #2 peleka mchicha au spinach utaonekana wa maana. Maua waachie wa tamthilia.
The Boss JF-Expert Member Aug 18, 2009 49,118 115,945 Jul 23, 2014 #4 Umesema maua? Dark City... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Nilufer JF-Expert Member May 10, 2012 9,320 12,833 Jul 23, 2014 #5 mmmh kama mpenzi wako mbongo wala usijisumbue kubea maua...
Manun'guniko Senior Member Jul 23, 2014 155 59 Jul 23, 2014 Thread starter #6 Ndio maua kwan we umesomaje
ONTARIO JF-Expert Member Oct 16, 2013 1,885 17,021 Jul 23, 2014 #7 Bado hujaijua nguvu ya kyepe yai kwenye mapenzi ya kibongo...
Manun'guniko Senior Member Jul 23, 2014 155 59 Jul 24, 2014 Thread starter #8 Ah ah ah ah ah ah nacho kinahusika kwa hal ya juu san
Kaunga JF-Expert Member Nov 28, 2010 12,530 13,470 Jul 24, 2014 #9 Kongosho said: peleka mchicha au spinach utaonekana wa maana. Maua waachie wa tamthilia. Click to expand... Hapana, bora kiroba cha mchele, sembe, maharage na kisado cha vitunguu.
Kongosho said: peleka mchicha au spinach utaonekana wa maana. Maua waachie wa tamthilia. Click to expand... Hapana, bora kiroba cha mchele, sembe, maharage na kisado cha vitunguu.
ERoni JF-Expert Member Jan 9, 2013 43,861 90,751 Jul 24, 2014 #10 Hayo tuwaachie watu wa magharibi. Dada zetu na maua?? Mmmh...hayo maduka ya maua yapo mangapi mitaani basi!!!
Hayo tuwaachie watu wa magharibi. Dada zetu na maua?? Mmmh...hayo maduka ya maua yapo mangapi mitaani basi!!!
tinna cute JF-Expert Member Sep 22, 2013 4,630 2,301 Jul 24, 2014 #11 Maua pelekea nyuki mpnz wako pelekea pesa
kilambalambila JF-Expert Member Nov 16, 2013 9,291 8,622 Jul 24, 2014 #12 ukiwa na mpenzi mwenye nyota ya nyuki maua ni lazma
MankaM JF-Expert Member Apr 20, 2013 9,448 3,054 Jul 24, 2014 #13 mim ukiniletea maua naona unaniingizia mbu kwenye neti tyu
Honey Faith JF-Expert Member Aug 21, 2013 15,784 11,801 Jul 24, 2014 #14 Maua tuwaachie wazungu.Mie badala unipe pesa unaniletea maua.Aiseee mie sipendi kabisa