Mau mau walilipwa nini na serikali ya kenya baada ya uhuru?

East African Eagle

JF-Expert Member
Jul 26, 2013
3,759
2,205
Askari wa mau mau naona kuwa walitumiwa ili kuipigania famillia ya Kenyatta ili ishike utawala na iwe na ardhi nzuri Kenya basi.Malipo pekee ya maana niliyosikia wao watalipwa ni yale waliyoshtaki Uingereza kwa kuwatesa wakiwa mikononi mwa mwingereza.Hivi serikali ya Kenyatta iliwalipa nini na inaendelea kuwalipa nini hawa wapigania uhuru wa Mau mau ambako wako hai na familia za waliokufa? Naona mau mau wengi wako hoi kimaisha.
 
ni kweli mkuu.hata mimi niliona video clip moja via youtube.wazee hawa wapo hoi kimaisha.wanatia huruma.
 
Back
Top Bottom