Gari Inauzwa TZS 6,900,000/= | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gari Inauzwa TZS 6,900,000/=

Discussion in 'Matangazo madogo' started by CarForSale, Jun 18, 2012.

 1. C

  CarForSale Member

  #1
  Jun 18, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 2. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #2
  Jun 18, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  safi sana
   
 3. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Information ulizoleta, mwaka wa car manufacture na gari inavyoonekana nimechoka. Ingawa inaonekana gari ni ya karibuni lakini mwonekano wa nje hauakisi na information ulizoleta, kwani laonekana gari lina kamchoko.
   
 4. igwana123

  igwana123 Senior Member

  #4
  Jun 19, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 175
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Naweza fanya inspection (emission) ya polisi kabla sijanunua
   
 5. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #5
  Jun 19, 2012
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hakuna gari ya milioni 6.9 hapa na atakayetoa pesa yake kununua hiyo ni mjinga. Hapo udadali tu unafanyika. Gari imechoka hivi unauza milioni 6.9?
   
 6. FairPlayer

  FairPlayer JF-Expert Member

  #6
  Jun 19, 2012
  Joined: Feb 27, 2006
  Messages: 4,166
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Hizo RIM kiboko
   
 7. C

  CarForSale Member

  #7
  Jun 19, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hehe, tatizo wabongo mmeshazoea scrapers ambazo zimenyooshwa na kupigwa rangi. Hiyo gari nauza as is. I see no point ya kwenda kuanza kuipaka rangi na kuipigilia wheel covers and all and then nitangaze bei ya 7.5M and above. Wewe kama unajua gari utaicheki na kujua kwamba ipo in an excellent condition na manjonjo mengine unafanya mwenyewe. Mngekua mnajua bei ya magari kidogo, mngefahamu that it's a really sweet deal. Do your research kabla ya ku-post au ku-reply post sio una-reply only because you got nothing better to do.
   
 8. C

  CarForSale Member

  #8
  Jun 19, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yes, of course.
   
 9. NTINGINYA

  NTINGINYA JF-Expert Member

  #9
  Jun 19, 2012
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mkuu hiligari bado bomba lakini vip hapo kwenye kilometa inakuwaje kulingana na umriwagari inawezekana kuwa hilogari imetembea kilometa 70000

   
 10. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #10
  Jun 19, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Kibongo bongo kuganga njaa kwa kupiga tax bubu time za nite,pengine hii ikawa chanzo cha mchoko wa bodi!
   
 11. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #11
  Jun 19, 2012
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  ujumbe umefika, si bora hata hizo scraper kuliko hiyo gari unayouza milioni 6.9 yahani umesikia ushuru kupanda ndo unatuuzia kimeo kwa bei hiyo? hivi mi nikiweka gari ya milioni 7 hapo hiyo ya kwako nayo gari? ama ndo hizo za wizi? kwa vile hatujui bei ya magari ndo unatubambika eti heee? magari yalivyojaa kwenye yard mpaka yanapata kutu leo unatuwekea kimeo hicho? irudishe japan tuone kama wataipokea ndo utajua ni kimeo hicho
   
 12. vipik2

  vipik2 JF-Expert Member

  #12
  Jun 19, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,175
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Ukiangalia kwa umakini gari nyingi zinazouzwa Tanzania KM huwa zipo chini ya 100,000km lakini zimezeeka,

  Model 2008
  [​IMG]km 70,000

  NIFAHAMISHE .: Uza Nunua :.

  http://sawio.co.tz/auction_stock.php  Wakati za Japan kama zinazouzwa Tradecarview utakuta Km ndefu lakini gari bado safi, KUWA MWANGALIFU NA FIKIRIA MARA MBILI KUNUNUA GARI DAR

  Toyota / Platz - Japanese used cars exports and Japan car import / Sort by : Price - Low to High / Page1 [ tradecarview ]


  Model 1999

  [​IMG]

  Km 106,150
   
 13. C

  CarForSale Member

  #13
  Jun 19, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dang! kuna watu wana vichwa vigumu aisee. Nimeshakwambia hii gari ipo kwenye EXCELLENT condition. Haya mayowe unayopiga hapa ni ya rangi na scratches. You are NOT in a position to judge this car bila kuifanyia inspection.

  Again: U DON'T KNOW ABOUT CARS. Ningechukua kimeo chochote mtaani nikakupakia rangi hapo ungefyata mkia na usingeongea lolote. Bottom line: 1) Acha wanaojua magari waongee 2) The way unavyoandika utumbo ni obvious kwamba hata ningeweka bei 1M you wouldn't be in a position to buy. On a second thought, hata ningeamua nikuhonge hiyo gari, bado ingebidi utafute kidume kingine uwe unapiga vibomu vya fuel na maintenance.

  A nutcase who starts banal and mediocre threads like https://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/148795-nampenda-martha-mwaipaja.html and https://www.jamiiforums.com/jokes-utani-udaku-gossips/158016-kongota.html should, at least, know better than contributing to serious threads.

  Nakushauri uendelee kutumia muda wako kutafuta bongo movies' stubs online ( https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/154106-movie-za-kibongo-swahili-movies.html ) badala ya kuchangia things you don't know about. Next time utakapowashwa kuandika tena kwenye hii thread soma vizuri my previous responses to your posts and come up with something NEW.

  Do not use internet anonymity to keep repeating yourself like a cheap broken record and posting stuff that you can not back up with facts.
   
 14. OGOPASANA

  OGOPASANA JF-Expert Member

  #14
  Jun 19, 2012
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 265
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 35
  Wakuu, this is the home of great thinkers, na hili ni jukwaa la biashara...sioni point ya kuponda na kukashifu biashara ya mtu, kumbukeni biashara haigombi kama huwezi kununua anachouza mwenzio ni bora kukaa kimya, mbona Mr. Price wanauza nguo kwa bei mara mia ya bei za karume, buguruni, mwenge na kariakoo wakati quality ya nguo ni ile ile??? Tuache siasa.
   
 15. Ghost

  Ghost JF-Expert Member

  #15
  Jun 19, 2012
  Joined: Apr 20, 2010
  Messages: 429
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkuu hapo umenena. Hapa kuna members wanaopenda sana kukashifu post za wenzao. Jama angeweka tangazo bila picha, wote wangekujajuu kuulizia hizo picha. Sasa kawawekea kila kitu lakini bado hawakubali...grrrrrr. wabongo bana!!
   
 16. C

  CarForSale Member

  #16
  Jun 19, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hehe. Kijana, tofautisha mwaka wa ku-import and model. Nimeandika Make/Model: Toyota Platz 2001 and NOT Toyota Platz 2008. Mwaka wa ku-import ndio 2008. Sio lazima kila thread uwe unachangia. Kama huelewi vitu kaa kimya.
   
 17. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #17
  Jun 20, 2012
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Excellent condition bongo kaka? Na Japan nao watasemaje? Usijione kuuza gari ndo unajuwa sana kuhusu magari na wala ungeyajua magari usingeweka kimeo hicho hapo kwa bei hiyo. Mbona kuna magari bomba tu mtaani yanauzwa bei nafuu. mi nakuapia hiyo gari ukipata mteja basi ni wale malimbukeni wa magari aliyekopa hela ama amestaafu anataka gari ya haraka haraka. Wabongo bwana yahani mnakaa hamfanyi kazi halafu mnataka kutajirikia kwenye migongo ya wengine kwa ulanguzi na utapeli
   
 18. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #18
  Jun 20, 2012
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Angalia mambo hayo usije ukaona sisi washamba hatujui sehemu za kupata magari mazuri kwa bei nafuu sio takataka hiyo hapo.
  2004 TOYOTA PLATZ F L PACKAGE Japanese used cars on sale , Import from Japan at Autorec Enterprise,LTD

  1999 TOYOTA PLATZ Japanese used cars on sale , Import from Japan at Autorec Enterprise,LTD

  2002 TOYOTA PLATZ X Japanese used cars on sale , Import from Japan at Autorec Enterprise,LTD

  we gari sijui ya mwaka gani hiyo unatuuzia milioni 7 na yadi nao watauzaje?
   
 19. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #19
  Jun 20, 2012
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hapo ni kununua ugonjwa gari imeingia toka 2008 mpaka leo miaka mi nne bado unauza milioni 6.9? hebu tuambie wakati inaingia ulinunulia bei gani ili tuweze piga depreciation, we unataka kutuuzia gari kama kiwanja bhana?
   
 20. C

  CarForSale Member

  #20
  Jun 20, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  Mpendwa Bibi yutong,

  Kutokana na juhudi ulizoonesha kwenye kuchangia katika uzi huu pamoja na malalamiko kadha wa kadha uliyotoa kuhusu ukubwa wa bei ya bidhaa, nimeamua kukupa punguzo la asilimia 99% na hivyo kukuuzia bidhaa hiyo kwa shilingi za kitanzania 69,000 taslimu. Ukiwa tayari umeshakusanya kiwango hicho cha fedha kuwa huru kuwasiliana nami wakati wowote nikupe bidhaa hiyo. Nitahakikisha nimeiweka tu kukusubiri utakapokuwa tayari kwa malipo.Kama una malalamiko zaidi au unahitaji punguzo zaidi usisite kuwasiliana nami au kuandika tu katika uzi huu. Usiwe na hofu kuhusu ukarabati wa bidhaa baada ya manunuzi kwani nimeamua nitakufanyia bure kwa kipindi cha miaka 10. Ingawa sijaamua kuwa nakujazia mafuta, jisikie huru kuwasiliana nami wakati wowote utakapohitaji hela ya mafuta pia baada ya manunuzi. Ila kuna sharti moja tu: Nitumie picha yako nione kama unafaa kupewa punguzo hilo na marupurupu hayo. Nakushukuru sana na natumai tutafanya biashara.

  Ma-salaam,
  CarForSale

  PS. Tuma picha kwenda BlackMamba@BigBlackDudes.com
   
Loading...