Matusi ya nguoni kwa wapenzi waachanapo!

Matusi ya nguoni kwa wapenzi waachanapo!

Shamkware

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2013
Posts
1,756
Reaction score
2,309
Sijui kama ilishawahi kunitokea/kushuhudia peke yangu, ..... Mtasifiana mambo mengi kwenye mapenzi na mambo kadha wa kadha.

Lakini utata huja pale penzi linapo vunjika, Mambo haya hugeuka na kuanza kuzungumziana mambo ya ndani.....

Eti oooooh mwanaume mwenyewe hujui mapenzi,

ooooh mara dume suruali,

Mara hujui kuvaa! Sasa why hamkulekebishana haya wakati mmpendana!

Huoni kama unajidhalilisha wewe kwa kutembea na huyo mchafu, mwanaume suluali, asiyejua mapenzi!

Badilikeni wa tabia hii Hasa wanawake mkiachwa!.
 
Mkiachana kistaarabu kila mtu ale hamsini zake kimyakimya,matusi ya nn kuja kuwekeana uadui wa maisha
 
Mimi tulipoachana niliambiwa nina kibamia
 
Wengine eti wewe bado mdogo size yako ni kina......
 
Ilikuwa kweli au? Maana wengine ukweli mnauita matusi
mwanafyale badili ID bana!Mama watoto jana kaninyima unyumba kwa madai kuwa aliniona MMU nje ya mkataba maana tukiwa kazini HATUINGII MMU hadi turudi home tena tuwe wote ndipo tunatumia MMU!Wife imani imeporomoka!

Sasa akiona ID yako hudhani ni mm!Unaweza badili hii ID please?
 
Last edited by a moderator:

Ha ha haaaaa! Kaka, huyo shemeji ana lake jambo, kama hawezi kutofautisha jina la mumewe mbona balaa. Sasa kama mna makubaliano ya kutoingia mmu saa za kazi inakuwaje saa hizi upo. Shemeji ana haki ya kuku doubt. Teh he heeee
 
sasa kama kunitusi na mimi namtusi tu kama kawa.
 
Kumtukana mpenzio ni ujinga sawa na unatukana mwili wako anakujua nje na ndani...mmeshare mengi...
Tunaachana kwa kiroho safi na tunaendelea kujuliana khali...dunia mapito
 
cha ajabu mwingine utakuta keshaa nae, utasikia ooh mwanaume gani mfupi, kwani wakati unampa papuchi alikuwa mrefu, leo mumezaa ndo kawa mfupi
 
cha ajabu mwingine utakuta keshazaa nae, utasikia ooh mwanaume gani mfupi, kwani wakati unampa papuchi alikuwa mrefu, leo mumezaa ndo kawa mfupi
 
Hamna lolote hasira za kuachwa, wewe hujui kama kuacha raha lakini kuachwa kunauma
 
Sijui kama ilishawahi kunitokea/kushuhudia peke yangu, ..... Mtasifiana mambo mengi kwenye mapenzi na mambo kadha wa kadha.

Lakini utata huja pale penzi linapo vunjika, Mambo haya hugeuka na kuanza kuzungumziana mambo ya ndani.....

Eti oooooh mwanaume mwenyewe hujui mapenzi,

ooooh mara dume suruali,

Mara hujui kuvaa! Sasa why hamkulekebishana haya wakati mmpendana!

Huoni kama unajidhalilisha wewe kwa kutembea na huyo mchafu, mwanaume suluali, asiyejua mapenzi!

Badilikeni wa tabia hii Hasa wanawake mkiachwa!.

Kuachana kistaarabu kunatoa nafasi ya kurudiana siku za usoni. Pia kunatoa nafasi ya kujifunza kwa ajili ya siku za usoni. Ni kipimo cha utu wa mtu.

Hao wanaomwaga mitusi awe mwanamke au mwanaume ujue hamnazo. Siku zote uhusiano wao na watu wengine ni majanga tu. Huwa ni suala la muda, lazima walipuke!
 
Ujinga tu. Akikwambia mwanaume suruali na wewe unamwambia mwanamke sketi, Akikwambia kibamia na wewe unamwambia dimbwi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom