Matusi ya mke yamenikimbiza nyumba

Matusi ya mke yamenikimbiza nyumba

UWOGA=UMASKINI

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
2,400
Reaction score
1,017
Wanajamiiforums tafadhali msaada wenu nina rafiki yangu ameoa toka 2oo9 na ana watoto watatu ila hawajabariki ndoa na labda niseme hivi 2009 ndo walianza ishi pamoja ila kabla ya hapo walikuwa na mahusiano miaka mitano nyuma yaani walianza mahusiano 2004. sASA ISSUE NI KWAMBA ANALALAMIKA SANA MKE HUYU AMEKUW AKIMTUKANA NA SIKU NYINGINE KUMPIGA NA HATA KUMFUKUZA CHUMBANI NA AMEJARIBU KUMSIHI AACHE TABIA HIYO NA ANAKIRI HATORUDIA ILA BAADA YA MWEZI MMOJA AU WIKI 2 SHIDA INARUDIA PALEPALE NA ANADAI TABIA HIYO AMEIANZA TOKA 2007 NA ANA KIBURI BALAA NA SIKU NYINGINE ANATISHIA KUJIUA SASA JAMAA JANA KALALA KWANGU JANA KWA KUDAI KAFUKUZWA NDANI NA MKEWE HUYO ILA BAADA YA MDA WA MASAA MAWILI TOKA AJE CHUMBANI KWANGU MKEWE HUYO KAJA NA KUMCHOMOA KWA KUMFUTIA CHUMBANI KWAO BAADA YA MDA JAMAA KAJA NIAGA ANAENDA LALA GESTI NA ANANIOMBA USHAURI AMUACHEJE MKEWE ILI HALI NA WATOTO HAO NIMEMUHAIDI LEO JIONI NITAMPA JIBU BILA YA KUJUA NITAMPA JIBU GANI SO PLZ NISAIDIENI USHAURI WA BUSARA
 
Dah,kaz sana! Amuambie kwamba amechoka hivyo anaamua kuondoka kabisa ila tujiulize nini kisa cha yeye kumfurumusha,na alianzaje kuruhusu kupigwà na mkewe,? Khaaa yan alimlea kimayai sasa ndo anaipata.
 
Huyo mwanaume anayepigwa na mkewe yukoje jamani?Ni mpole sana,dhaifu sana au hana nguvu?
 
Wanajf tafadhali msaada wenu nina rafiki yangu ameoa toka 2oo9 na ana watoto watatu ila hawajabariki ndoa na labda niseme hivi 2009 ndo walianza ishi pamoja ila kabla ya hapo walikuwa na mahusiano miaka mitano nyuma yaani walianza mahusiano 2004. sASA ISSUE NI KWAMBA ANALALAMIKA SANA MKE HUYU AMEKUW AKIMTUKANA NA SIKU NYINGINE KUMPIGA NA HATA KUMFUKUZA CHUMBANI NA AMEJARIBU KUMSIHI AACHE TABIA HIYO NA ANAKIRI HATORUDIA ILA BAADA YA MWEZI MMOJA AU WIKI 2 SHIDA INARUDIA PALEPALE NA ANADAI TABIA HIYO AMEIANZA TOKA 2007 NA ANA KIBURI BALAA NA SIKU NYINGINE ANATISHIA KUJIUA SASA JAMAA JANA KALALA KWANGU JANA KWA KUDAI KAFUKUZWA NDANI NA MKEWE HUYO ILA BAADA YA MDA WA MASAA MAWILI TOKA AJE CHUMBANI KWANGU MKEWE HUYO KAJA NA KUMCHOMOA KWA KUMFUTIA CHUMBANI KWAO BAADA YA MDA JAMAA KAJA NIAGA ANAENDA LALA GESTI NA ANANIOMBA USHAURI AMUACHEJE MKEWE ILI HALI NA WATOTO HAO NIMEMUHAIDI LEO JIONI NITAMPA JIBU BILA YA KUJUA NITAMPA JIBU GANI SO PLZ NISAIDIENI USHAURI WA BUSARA

Ndawa ya moto sio moto ni maji mwabie uyo aoe mke ingine, hiyo moto itatulia.
 
Katika wanaume wavumilivu huyo naye yumo mana tangu 2007 hadi leo anavumilia tu.

Ila yakimzidia jibu atalipata tu mana huwezi jua kwan unaweza ukampa maamuzi ya tofauti mwisho wa siku ukaonekana mbaya..
 
Inavyoonyesha, huyu jamaa alihamia kwa demu, hana sauti kwani analelewa tu, kama kweli ni kwake asingefukuzwa hivyo. Natoa ushauri wa bure, kabla hujaoa hakikisha mwanamke unamzidi kila kitu, elimu, cheo, hela, nguvu, erefu, ujanja wa town, ikiwezekana hata uzuri. Akikuzidi kimoja tu kati ya hivyo, utaona cha mtema kuni. JAMAA ANI-PM kwa maushauri zaidi.:shetani:
 
Aisee mbona hiyo story inashindwa kusound kwa bongo yangu?

2004 wameanza mahusiano.
2007 ke akaanza tabia mbaya.
2009 wakaoana.

Alafu yale matatizo tunayoyashuhudia kwa me hapo yapo kwa ke.

na huyo me hajui nini afanye!!!!

ACHA KUTUDANGANYA NDUGU.
 
Katika wanaume wavumilivu huyo naye yumo mana tangu 2007 hadi leo anavumilia tu.

Ila yakimzidia jibu atalipata tu mana huwezi jua kwan unaweza ukampa maamuzi ya tofauti mwisho wa siku ukaonekana mbaya..
 
mmmmhhhhh watu wanadumu kwenye mahusiano ni hatar
 
Inavyoonyesha, huyu jamaa alihamia kwa demu, hana sauti kwani analelewa tu, kama kweli ni kwake asingefukuzwa hivyo. Natoa ushauri wa bure, kabla hujaoa hakikisha mwanamke unamzidi kila kitu, elimu, cheo, hela, nguvu, erefu, ujanja wa town, ikiwezekana hata uzuri. Akikuzidi kimoja tu kati ya hivyo, utaona cha mtema kuni. JAMAA ANI-PM kwa maushauri zaidi.:shetani:

Haha haha mbka uzuri
 
Tyta pita hapa,. huyu jamaa kama siyo balozi wa nyumba kumi, anafanya kazi.

tusaidie kutuletea thread zake tatu za nyuma zilizopita.

kama siyo balozi wa nyumba kumi wale wanaotatua migongano kama hii, basi jamaa atakuwa ni muongo sana.

asante.
 
Last edited by a moderator:
Hivi huyo jamaa yako alioa kwa mahari kweli...!!!
 
Hata nikilewa chakari mwanamke hawezi thubutu kuninyanyulia mdomo au mkono hata kama gauni lake ninafunika hilux.
 
Back
Top Bottom