Matusi wanaodaiwa chadema. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matusi wanaodaiwa chadema.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mumwi, Mar 8, 2011.

 1. Mumwi

  Mumwi JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 592
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nimejaribu kufuatilia katika mikutano yote ya chadema hadi kuitwa wahaini, kumbe ni Dowans, Epa,kagoda,Richmond na kuwatetea wana angalau hali ya maisha ibadilike lakini ndo imekuwa balaa kwa chadema Ila hukumu yote iko kwa wananchi.

  Matamko ni mengi kila mtu anajaribu kutoa tamko ili angalau asikike.
   
 2. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #2
  Mar 8, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 4,165
  Likes Received: 1,251
  Trophy Points: 280
  Sasa hivi kila mtu ndani ya CCM ni msemaji anza na mkuru mwenye Dr. Dr. Dr. Jeykei, Mama lao Sofi Simba, Guninita, Magufuli, Babu lao Tyson Wasiira, Mwanajeshi mstaafu Chiligati, Msema ovyo Tambwe.

  Cha ajabu sasa wanasema Chadema wanatoa matusi na matatizo bila suluhisho, sasa wakiwapatia suluhisho ninyi mnaolipwa mshara kwa kazi hiyo mnafanya nini huko maofisi? Muwapishe sasa.
   
 3. M

  Mzee Kibiongo JF-Expert Member

  #3
  Mar 8, 2011
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 241
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nasema na ninarudia tena.............."Wanaume wenye uchungu na nchi hii ni wale waliopeleka suala la kupinga kulipwa Dowans mahakamani. Wengine wote wanaozunguka mikoani ni madebe matupu tu" Hawa hawana sera ila wanatafuta sifa za kitoto. Msijifanye waarabu. Mwenye akili kaelewa.
   
 4. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #4
  Mar 8, 2011
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,920
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Yaa man umesomeka vizuri sana. Hao jamaa hamna kitu kichwani.....very unbelievable!
   
 5. M

  MUSINGA JF-Expert Member

  #5
  Mar 8, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 376
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 45
  hivi maisha bora yataletwa na maandamano au,wadanganyika hebu kuweni na akili mnatumiwa kama pedi :hand:
   
 6. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #6
  Mar 8, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,640
  Likes Received: 4,746
  Trophy Points: 280
  Hapo kwenye red huyo ni TX kutoka Hifadhi ya Gombe ameitwa kuongeza nguvu baada ya kuona mapigo ya Chadema yanazidi kuibomoa CCM
   
 7. Click_and_go

  Click_and_go JF-Expert Member

  #7
  Mar 8, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 451
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  sisiem hawataki kusikia kabisa hayo maneno manake ndo nyavu za kuwakamata kwa wananchi!!!!!
   
Loading...