Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,570
- 94,858
Kwa huyo ulie mtongoza imekuwa suluhisho.kwahiyo matusi ndio iwe suluhisho?
Kwa huyo ulie mtongoza imekuwa suluhisho.kwahiyo matusi ndio iwe suluhisho?
Wakuu
Baada ya kila ninampata ni single maza basi nikaamua wikiend iliyoisha nitafute walau mtoto mbishi hapa mtaani ni mwanafunzi wa chuo.
Kama kawaida kaingia 18 zangu nikamuomba namba akakubali kunipa lakini baada ya muda badae kidogo nikaanza kumseduce.
Aiseeee, nilichokutana nacho sijapata ona wala kusikia, nikajiuliza au bado huyu binti ni mtoto?
Inasemekana ndio kamaliza chuo mwaka huu hivyo kwa hakika ni mtu mzima ile nimempa habari za kumtaka tu (mtongozo) alinifurumushia "matusi" sio ya nchi hii.
From nowhere natukwana, nikauliza sababu ni mtongozo tu huu au, bado natumiwa natusi hataree tena ya nguoni.
Hivi hii trick ni mpya, au niendelee na mteremko kwa single maza maana hawanaga izi isue.
Yaani unajiuliza hivi huyu alishindwa kuniita nje ya home anipe fanta ya jero ajieleze?hahaha mweingine unaamua kumpa lift anaanza kukusifia anakutongoza ! shubaaamit !hao wote ni team kitonga !mxiew
Yaani unajiuliza hivi huyu alishindwa kuniita nje ya home anipe fanta ya jero ajieleze?
Sasa Madam kama umenikaribisha kwako na pishi lote hilo ukaniandalia na sharubati baridi juu jumlisha na jinsia zetu, tuko wawili tu mazingira yenyewe tulivu unategemea baada ya kushiba tuanze kuimba mapambio? Tongozo halina sehemu maalumu ujue

Sasa Madam kama umenikaribisha kwako na pishi lote hilo ukaniandalia na sharubati baridi juu jumlisha na jinsia zetu, tuko wawili tu mazingira yenyewe tulivu unategemea baada ya kushiba tuanze kuimba mapambio? Tongozo halina sehemu maalumu ujue![]()
![]()
Aisee itabidi saivi nitafute hata gari la kuazima alafu tongozo naenda kulitolea kwenye ATM machine na kadi yangu iliyoexpire.hahaha mweingine unaamua kumpa lift anaanza kukusifia anakutongoza ! shubaaamit !hao wote ni team kitonga !mxiew
Wakuu
Baada ya kila ninampata ni single maza basi nikaamua wikiend iliyoisha nitafute walau mtoto mbishi hapa mtaani ni mwanafunzi wa chuo.
Kama kawaida kaingia 18 zangu nikamuomba namba akakubali kunipa lakini baada ya muda badae kidogo nikaanza kumseduce.
Aiseeee, nilichokutana nacho sijapata ona wala kusikia, nikajiuliza au bado huyu binti ni mtoto?
Inasemekana ndio kamaliza chuo mwaka huu hivyo kwa hakika ni mtu mzima ile nimempa habari za kumtaka tu (mtongozo) alinifurumushia "matusi" sio ya nchi hii.
From nowhere natukwana, nikauliza sababu ni mtongozo tu huu au, bado natumiwa natusi hataree tena ya nguoni.
Hivi hii trick ni mpya, au niendelee na mteremko kwa single maza maana hawanaga izi isue.
Hapana hatutalala ni kitendo cha masaa machache tu then naomba nauli ya tax narudi kwanguYaani hupendi kugharamia chochote, ili nikikubali unaingia ndani kulala sio?
@seduce me@
na wewe ukija kwangu tegemea ukaribisho zaidi ya huo. Raha ya mapenzi mseduziane@hujielewi na hujaelewa nilichokiandika!Wewe utakuwa hujui kutongoza..badala kuondoka na gea namba 1 umeondoka na gea namba 5 hahahaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni papara zako...sikulaumu kwa sababu najua umezoea kutongoza mashugamamihujielewi na hujaelewa nilichokiandika!
matusi vs mtongozo
😀😀😀
Nina miaka 5 sijawahi kutongozaHivi bado wapo wanaotongozwa na kutoa matusi kisa hawataki.![]()
![]()
Sitaki kuamini au wewe king'ang'anizi nini hutakiwi ila bado unalazimisha.