Matusi kwa mtongozo wa siku moja tu

Matusi kwa mtongozo wa siku moja tu

Aise...na wewe unakuwa comfortable kabisa umekubaliwa baada ya nusu saa tu ya mtongozo?
Ndio hata baada ya dakika 10

What's matter ni Mindset ya huyo anayetongozwa.

Unajuaje yeye ndiye aliyetangulia kukupenda siku nyingi na alikuwa anasubiri kwa hamu ufunguke kwake?
 
Ndio hata baada ya dakika 10

What's matter ni Mindset ya huyo anayetongozwa.

Unajuaje yeye ndiye aliyetangulia kukupenda siku nyingi na alikuwa anasubiri kwa hamu ufunguke kwake?
Mkuu naona umeanza kunielewa sasa. Kwa jinsi ulivyosema ni obvious kabisa huyo si yule wa kukutana naye for the first time ambaye hamkuwa hata na mazoea ya salamu.

Ndiyo maana nikasema lazima kuwe na ule muda wa kufahamiana na kuzoeana kidogo ndipo hayo mengine yanakuja. Sasa wewe kwake ni total stranger halafu unaanza na mtongozo straight away????? Come on!! No one can be that easy, unless....
 
Aise...na wewe unakuwa comfortable kabisa umekubaliwa baada ya nusu saa tu ya mtongozo?
Mkuu maneno matamu ni adimu sn mkuu.....kuna wanawake wanaweza ishi hata miaka 7 hawajakutana na mwamaume mwenye maneno matamu...mtoto nilimzidi maneno....hakuwa na jinsi ni NATURE TU ya mwanamke MKUU..... mwanamke akikutana na maneno matamu ni kama KUMLAUMU MBWA mbele ya CHATU...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu

Baada ya kila ninampata ni single maza basi nikaamua wikiend iliyoisha nitafute walau mtoto mbishi hapa mtaani ni mwanafunzi wa chuo.

Kama kawaida kaingia 18 zangu nikamuomba namba akakubali kunipa lakini baada ya muda badae kidogo nikaanza kumseduce.

Aiseeee, nilichokutana nacho sijapata ona wala kusikia, nikajiuliza au bado huyu binti ni mtoto?

Inasemekana ndio kamaliza chuo mwaka huu hivyo kwa hakika ni mtu mzima ile nimempa habari za kumtaka tu (mtongozo) alinifurumushia "matusi" sio ya nchi hii.

From nowhere natukwana, nikauliza sababu ni mtongozo tu huu au, bado natumiwa natusi hataree tena ya nguoni.

Hivi hii trick ni mpya, au niendelee na mteremko kwa single maza maana hawanaga izi isue.
karibu chaputa hao watakuua na presha mkuu
 
Mkuu maneno matamu ni adimu sn mkuu.....kuna wanawake wanaweza ishi hata miaka 7 hawajakutana na mwamaume mwenye maneno matamu...mtoto nilimzidi maneno....hakuwa na jinsi ni NATURE TU ya mwanamke MKUU..... mwanamke akikutana na maneno matamu ni kama KUMLAUMU MBWA mbele ya CHATU...

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha....mkuu nimecheka kinoma. Ngoja nikubali yaishe mkuu, but sidhani kama ni best approach kumtongoza mwanamke soon after kupata namba.
 
Ehh...kwn yeye anatoa namba anajuwa wewe una lengo gani.,........mara nyingi NI SIGNAL YA KUKUELEWA.....kama hupewi namba means HATOJALI HATA AKIKUPOTEZA.

Sent using Jamii Forums mobile app
There is always a test kwa hawa watu. Sasa wewe ukijiaminisha kuwa katoa namba basi mambo yametiki tayari utakuja kupoteza bahati na usiamini. Huwa wanapenda kuona ustaarabu wako kwanza, sasa ww ukianza na mtongozo basi atajua ndo walewale wa kuparamia kila mwanamke. Ukiwa gentle atajua kweli unampenda na si kumtamani kwa kugegedana tuuuu.
 
Mkuu siku moja tu na kutongoza? Ungevuta hata wiki kidogo ili muwe na mazoea walau kidogo, au ungekaa hata siku mbili mkuu, halafu nadhani we ni domo zege, wanawake hupenda kutongozwa live maana husoma vitu Fulani kutoka kwa mwanaume.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye live mkuu nimekuelewa sana, kwanza huwa nashangaa unawezaje kumtongoza mtu kwa simu na akakubali
 
karibu chaputa hao watakuua na presha mkuu
naskiaga tu icho chama

haitakuja tokea nikajiunga huko, wanawake wengi sana tena wa kila aina yaani ukiamua ata wakutotongoza wapo nikujibebea tu aina unayotaka
 
Back
Top Bottom