Matured Christian Man for Marriage

Status
Not open for further replies.
100%
 
Huko unakosali wanakufahamu vizuri Kwa tabia yako njema kwanini hawakuoi?
 
Kwa gubu hili, huambiliki ndio maana unarandaranda mitandaoni. Baki na gubu lako hadi utakapotaka anaepumua tu. We ungekuwa born again si ungepata huko kanisani kwako ila gubu dada ndio maana unakimbiwa.
Nilitegemea comment kama hii!
 
Njoo PM
 
Unatafuta Mubaba wa Dar, Dodoma na wapi tena umesema?
Ni kwa sababu hauko tayar kubadili life style hivyo unang'ang'ania miji yenye Anasa zile zile....

40_45y/o na yuko Single, huyu ni Muhini mwenzio😆

TUPO ILA HATUNA HELA.
 
Ukweli ni kwamba Hakuna formula sahihi ya kupata mwenza sahihi angalau mkaendana kwa 50% kuna muda utaona mtu ni sahihi lkn ukikaa nae baada ya muda furani utagundua yupoje Mercy usivunjike moyo hakuna linalo shindikana usisahau kuwa una wajibu wa kumtengeza ili awe bora zaidi huyo mwenza wako
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…