Matured born again christian men for marriage

Matured born again christian men for marriage

Kumbe we ni mbibi itakuwa mtaani wanaume wanaku avoid aseee duuh
 
Punguza dharau
Heshimu wanaume
Acha u much know na kujifanya kwamba unaweza kila kitu mpaka kuwatoa akili wanaume ambao wamekuzidi vitu vingi
Katika hao kuna wanaotafuta mke
Acha kuwa selective
Usidharau watu

Kuna wadada wawili nawajua wamezaliwa maisha bora tu wana hizo tabia hapo juu hawana waume hadi leo wako kwenye age 30s
Hahaha
 
Back
Top Bottom