Neema na Baraka za Mungu ziambatane na kuandamana na nia, dhamira na haja ya moyo wako. Hitaji lako likapate kibali na kutimia sawa sawa na mapenzi ya Mungu.🐒Naishi Dsm Tanzania
Umri wangu ni 35s
Mwajiriwa sekta binafsi
Mkristo ,pentecoste
Looking for a matured born again christian man who is real tired of being single and he is ready for commited relationship then a holy christian marriage
Must be above 35s but not above 45
Independent,working,financially stable ,responsible
Awe mkweli na dhamiri ya kweli
Awe na hofu ya Mungu ,muungwana na huruma .
Seriously only pm.
Pm kuna nini kwani mbona ghafla sana muheshimiwa 😆😆ñjoo pm one time lady plz tuone namna ya kumsaidia Victoria 🐒
Relax madam,Pm kuna nini kwani mbona ghafla sana muheshimiwa 😆😆
Sawa boss wangu...pm ipo wazi karibu sana nipo tayari kukupokeaRelax madam,
ni katika jitihada tu za kuhakikisha anafanikiwa, maana ameongea kwa uchungu sana mpaka nimesita kumfuata pm kwa ushauri na mawaidha zaidi 🐒
Nyie born again si mnasemaga bwana hua anawaonyesha mume/mke. Vipi wewe hujaonyeshwa mpaka unakuja kutafuta humu duniani..? Na je ukimpata mwenye hivyo vigezo utaenda tena kuomba uonyeshwe kama ni yeye au ndio utabeba huyo huyo?Naishi Dsm Tanzania
Umri wangu ni 35s
Mwajiriwa sekta binafsi
Mkristo ,pentecoste
Looking for a matured born again christian man who is real tired of being single and he is ready for commited relationship then a holy christian marriage
Must be above 35s but not above 45
Independent,working,financially stable ,responsible
Awe mkweli na dhamiri ya kweli
Awe na hofu ya Mungu ,muungwana na huruma .
Seriously only pm.
Upate hitaji la moyo wako. Kwani ubao unasoma ngapi ngapi?Naishi Dsm Tanzania
Umri wangu ni 35s
Mwajiriwa sekta binafsi
Mkristo ,pentecoste
Looking for a matured born again christian man who is real tired of being single and he is ready for commited relationship then a holy christian marriage
Must be above 35s but not above 45
Independent,working,financially stable ,responsible
Awe mkweli na dhamiri ya kweli
Awe na hofu ya Mungu ,muungwana na huruma .
Seriously only pm.
AmenUpdate hitaji la moyo wako
Inabidi bi harusi achukue ushauri siku zinaenda 😁Punguza dharau
Heshimu wanaume
Acha u much know na kujifanya kwamba unaweza kila kitu mpaka kuwatoa akili wanaume ambao wamekuzidi vitu vingi
Katika hao kuna wanaotafuta mke
Acha kuwa selective
Usidharau watu
Kuna wadada wawili nawajua wamezaliwa maisha bora tu wana hizo tabia hapo juu hawana waume hadi leo wako kwenye age 30s
Umri wako unapanda na kushuka utafikiri vipimo vya jotoridi.Naishi Dsm Tanzania
- Umri wangu ni 35s
- Mwajiriwa sekta binafsi
- Mkristo, pentecoste
Looking for a matured born again christian man who is real tired of being single and he is ready for commited relationship then a holy christian marriage.
- Must be above 35s but not above 45.
- Independent, working, financially stable, responsible
- Awe mkweli na dhamiri ya kweli
- Awe na hofu ya Mungu, muungwana na huruma.
Seriously only PM.