Acha niongeze Tikiti la miraba minne
Huko Japan yanauzwa bei mbaya
Unayafungia kwenye kiboksi kidogo na kila tikiti linapokuwa unabadilisha boksi
Yakikua bei yake inafika $200
Hili tunda linaitwa Durian linapatikana South Asia
Ni tamu Ila linaharufu mbaya sana kiasi kwamba kuna mabasi ni marufuku kupanda nayo na hata usafiri mwingi tu
Linanuka vibaya sana ingawa linaitwa Mfalme wa Matunda
Hili tunda linaitwa Durian linapatikana South Asia
Ni tamu Ila linaharufu mbaya sana kiasi kwamba kuna mabasi ni marufuku kupanda nayo na hata usafiri mwingi tu