Matunda ya kukatwa kwa posho holela za Madiwani wa Chadema Arusha

vipi kuhusu Chemba wanakounga mikono na miguu juhudi wamekuwa wangapi? Achna na hiyo sehemu ya kaskazini hatua mnayopitia sasa hivi wao walishaivuka siku nyingi...
 
Ufidadi kivioi wakati walikubaliana katika vika rasmi? Anyway, hoja yangu ni kujua statistical correlation kwenye hoja ya mleta Uzi! Sijui ungependa kumjibia?
Kama matumizi ya kifisadi ya wanasiasa wa Chadema yamebanwa fedha zikawekezwa kwa waalimu na wanafunzi wakafualu, statistical correlation unayotaka ni ipi?
 
Posho za kifisadi za madiwani wa Chadema Jiji la Arusha zilizokatwa na aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji hilo ambaye sasa ni Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) zimezaa matunda baada ya jiji hilo kuwa la kwanza kitaifa kwa ufaulu Darasa la Saba.

Ikumbukwe kwamba ukataji wa posho hizo ambazo zilielekezwa kwenye elimu kulileta kizaazaa na chuki dhidi ya Dkt. Kihamia. Chuki hizo mpaka leo hii hazijapoa licha ya mafanikio yaliyopatikana.

Soma hiki kipande cha gazeti la Mwanachi la mwaka 2016;
View attachment 912787View attachment 912790
Mzalendo
 
Hizi takwimu zenu za kupika zitawatokea puani tu. Time will tell. Mnalifanya jiji la Arusha lionekane kuongoza kitaifa kwasababu mnalitaka. Mnataka kutumia justification za kipambavu kama hii ili ionekane ccm wameondoa posho na hayo ndio matunda yake. Pathetic. Je kwingineko ambako wamefeli posho zao zinaliwa na chadema? Huu ni ujuha kabisa.

Eti na Chato ipo juu kitaifa, my foot!
 
INA MAANA MLIKATA POSHO ZA MADIWANI WA CHADEMA TU, LAKINI WA CCM HAMKUZIKATA?
Hao wa Chadema ndio walikuwa wanaongoza halmashauri, halafu wao ndio wanalialia sana mpaka wabunge wao wanawatetea, yani wanatetea wizi. Wamekua kama kagenge ka wanyang'anyi.
 
HUJAJIBU SWALI, KUTOKANA NA KICHWA CHA HABARI NI KUWA BAADA YA KUBANA POSHO ZA WADIWANI WA CHADEMA BASI WANAFUNZI WAMEFAULU. SASA NAULIZA JE POSHO ZA MADIWANI HAZIKUBANWA?
 
sio dhambi, jipya ni kwamba waliotuaminisha miaka yote kwamba ni watetezi wa wanyonge ni mafisadi na wanapobaniwa mianya yao ya ulaji wanatafuta namna ya kumchafua huyo anayewabania. Chadema hamna jipya.
Umevinbiwa ???
 
Posho za kifisadi za madiwani wa Chadema Jiji la Arusha zilizokatwa na aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji hilo ambaye sasa ni Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) zimezaa matunda baada ya jiji hilo kuwa la kwanza kitaifa kwa ufaulu Darasa la Saba.

Ikumbukwe kwamba ukataji wa posho hizo ambazo zilielekezwa kwenye elimu kulileta kizaazaa na chuki dhidi ya Dkt. Kihamia. Chuki hizo mpaka leo hii hazijapoa licha ya mafanikio yaliyopatikana.

Soma hiki kipande cha gazeti la Mwanachi la mwaka 2016;
View attachment 912787View attachment 912790
Tunaomba matokeo kitaifa.
 
Sijawahi sikia geita imeingia top 10 tena wilaya ya chatu

Kweli dah kazi ipo bongo
 
Hivi mungu aliwaumbaje watu wengine?Reasoning capacity zilifanywaje? Eee Mungu wasaidie watu wako.
 
Umeandika nini hapa? Hakuna mantiki yoyote. Ungeweka na historia ya miaka kadhaa nyuma Kuhusu ufaulu wa jiji hili ungeelewaka kama posho ndio tatizo,
 
Posho za kifisadi za madiwani wa Chadema Jiji la Arusha zilizokatwa na aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji hilo ambaye sasa ni Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) zimezaa matunda baada ya jiji hilo kuwa la kwanza kitaifa kwa ufaulu Darasa la Saba.

Ikumbukwe kwamba ukataji wa posho hizo ambazo zilielekezwa kwenye elimu kulileta kizaazaa na chuki dhidi ya Dkt. Kihamia. Chuki hizo mpaka leo hii hazijapoa licha ya mafanikio yaliyopatikana.

Soma hiki kipande cha gazeti la Mwanachi la mwaka 2016;
View attachment 912787View attachment 912790
Wapewe sifa walimu sio mkurugenzi kwani ??
Hahusiki na ufundishaji wala wana funzi hawamtambui !!!
 
Eti mafisadi papa, na hayo mawazo ndio yanasababisha mkipata nafasi za uongozi muwe wezi, sasa kama ni hivyo Chadema iseme wazi kwamba wanachotafuta ni nafasi ya kuchukua nchi ili waibe. Wewe huitakii nchi mema
Ccm wameifilisi nchi sana tu. Mfano kesi zote za ufisadi huko mahakamani lazima mhusika alikuwa au ni mwanachama wa CCM
 
IMG-20181029-WA0017.jpeg
 
Hayo ndio mapambano dhidi ya ufisadi yaliyoongozwa na Meya wa Chadema Arusha. Hahaaa, Chadema hata hamueleweki sera zenu mnawafanya wananchi wapumbavuuuuu
 
Back
Top Bottom