CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,789
- 8,915
- Thread starter
- #21
Ni ghari sanaNiliyaona supermarket Nairobi moja linauzwa ksh 690..about two weeks ago
Ni ghari sanaNiliyaona supermarket Nairobi moja linauzwa ksh 690..about two weeks ago
Wacha kuchanganya mambo, Dragon Fruit kwanza hayana asiliya Africa unazungumzia vitu tofautiHaya Yanaota Tu Dodoma, Singida, Tanga,
Haya Ndiyo Furahisha M.....
Hata Dar MkuuHii kitu nilielimishwa na Mkena moja
Nikamuona Mchina MOJA analima on a commercail scale Zambia, kwa hapa kwetu nawafahamu wakulima wawili wapo Arusha moja ndio anafanya kibiashara mwingine ni mstaafu kaotesha tu kwake
Kwa nyie watu wa Arusha hii kitu demand yake ni kubwa saana hasa Kenya, nilishona pahali mtu kayaotesha sehemu kame saana
Ninayo miche michache nimeotesha huku Pwani ya Tanganyika ina mwaka na nusu, hope itanipa matokeo matunda
Mbegu ni process ngumu, tunatumia cuttingsMagazine Fire mkuu ukienda malls kubwa nunua tunda zipo namna ya kuvuna mbegu wenyewe ila zitazaw baada ya mia 5 hadi 9 ila ukinunua cutting uhakika 2 haddi 3 utatazslisha mingi
Ila baada ya miaka 7 wa mbinu ya kuvuna mbegu ( naitoa burre) utamwita baba mdogo
Ninazo cuttings za kutosha ArushaWasilianeni na huyu mkenya +254722 229364 sijasema mtume hela hapana pateni details cuttings anazo kibao ila deal kwa akili wakenya si mnawajua
Nina CuttingsNtakichekia kenya
Naweza kukuuzia cuttingsTatizo kuagiza mbegu kutoka nnje kunatakiwa vibari vingi na gharama sana labda uingize kwa njia za panya.
Sijakuelewa umeandika niniTunda bongo elfu 12 matunda 10,120 ni ekari ,ukipiga mbinu hii nayotoa bure 1200000,ila miaka 6 kuendelea na yanavilia ukame kuliko alizet ila wachawi panda na ya kuzuia wachawi hilo muulize @Mzizimkavu na Mshana Jr mimi na mwaka naona mapicha ya kutisha nawauliza hawajibu ,mara nione mambo siyajui najiuliza how can i imagine nisicho kijua,na havihusiani nam kuna mtu mtabir alishika mkono wangu hakutabir ila akatabiria wenzangu ,mshana na mzizi sio matapeli wengine wa pime mwenyewe.l
Inaitwa pitaya tunda la bahati na utajiri.l
Cutting inachukua Mda gani kuweka matundaNaweza kukuuzia cuttings
Mkuu naomba kujua bei inakuwaje kwa mojaNaweza kukuuzia cuttings
Pagumu HapaNitarudi
Cuttings nitakuuzia sh 3000/ kwa mojaMkuu naomba kujua bei inakuwaje kwa moja
Mkuu nahitaji 100Cuttings nitakuuzia sh 3000/ kwa moja
Karibu 0783691072Naomba mawasiliano yako nahitaji kama 100 haya matunda niliona Wachina kule Zambia wanatamba kwamba wao ndo pekee wanao lima Zambia. Tumelala sana sisi
Cuttings nitakuuzia sh 3000/ kwa moja
Ndio mkuu inafanya vyemaMkuu,
Ukanda wa Pwani especially Bagamoyo … hili tunda linaweza kuishi?
Ndio mkuu inafanya vyema