Matunda aina ya Dragon

Hii kitu nilielimishwa na Mkena moja
Nikamuona Mchina MOJA analima on a commercail scale Zambia, kwa hapa kwetu nawafahamu wakulima wawili wapo Arusha moja ndio anafanya kibiashara mwingine ni mstaafu kaotesha tu kwake

Kwa nyie watu wa Arusha hii kitu demand yake ni kubwa saana hasa Kenya, nilishona pahali mtu kayaotesha sehemu kame saana

Ninayo miche michache nimeotesha huku Pwani ya Tanganyika ina mwaka na nusu, hope itanipa matokeo matunda
Hata Dar Mkuu
 
Magazine Fire mkuu ukienda malls kubwa nunua tunda zipo namna ya kuvuna mbegu wenyewe ila zitazaw baada ya mia 5 hadi 9 ila ukinunua cutting uhakika 2 haddi 3 utatazslisha mingi
Ila baada ya miaka 7 wa mbinu ya kuvuna mbegu ( naitoa burre) utamwita baba mdogo
Mbegu ni process ngumu, tunatumia cuttings
 
Tunda bongo elfu 12 matunda 10,120 ni ekari ,ukipiga mbinu hii nayotoa bure 1200000,ila miaka 6 kuendelea na yanavilia ukame kuliko alizet ila wachawi panda na ya kuzuia wachawi hilo muulize @Mzizimkavu na Mshana Jr mimi na mwaka naona mapicha ya kutisha nawauliza hawajibu ,mara nione mambo siyajui najiuliza how can i imagine nisicho kijua,na havihusiani nam kuna mtu mtabir alishika mkono wangu hakutabir ila akatabiria wenzangu ,mshana na mzizi sio matapeli wengine wa pime mwenyewe.l
Inaitwa pitaya tunda la bahati na utajiri.l
Sijakuelewa umeandika nini
 
Naomba mawasiliano yako nahitaji kama 100 haya matunda niliona Wachina kule Zambia wanatamba kwamba wao ndo pekee wanao lima Zambia. Tumelala sana sisi
 
IMG_20220203_181404.jpg

Hii ni zanzibar
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom