St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,634
- 4,519
Last edited by a moderator:
Punguza matumzi ya K na yapesa yatapungua. Pesa nyingi Inatumika Kufanyia marekebisho na maboresho K ili kuhakikisha inabaki katika STANDARD nzuri, hata baada ya UHARIBIFU endelevu unaoufanya. (Samahani lakini Mambo ya Walimwengu)
Mwanaume ndio provider wa familia lakini ningeshauri kukaa na kuongea juu ya hilo na pia uwe open kwa mwenzio, It good to spend wisely your resources. Kuna baadhi wa wadada wanajali sana, wao huishi kutokana na hali iliyopo pia wanaijali kesho, wanaenda mbali hata kushare walivyonavyo wao katika jina la upendo na kusaidiana, lakini kuna wengine ni balaa kwenye kutumia, wao ni kutafuna tu.
Upendo ni kusaidiana hata kama sio kwa kuchangia matumizi, bali hata kwa kutumia kwa busara kile cha mwenzio na muweze kuendelea kuzalisha vingine zaidi na zaidi.
Of coz nampenda sana my girl friend but ana matumizi makubwa sana ya pesa na mengine siyo ya muhim sana na ukizingatia mimi kijanan najijenga bado. Naomba ushauri wenu ,je nimnyime au nifanyeje?
Mapenzi ya Zama Za kale .you have no money your out
Unaingiaje uwanjani kucheza mpira huna miguu.huna pesa kaa chonjo sio kuharibia watu maisha .mwanaume pesa huna pesa unakuwa Kama Chura ndani ya maji.watu wanachota maji na Chura kutwa kulalamika maji yangu maji yangu .
kwani wewe ni baba yake mpaka akuchomoe mijihela kama ATM za Umoja switch...
Unajua kuna wadada wengine sijui walikosa matunzo bora kwa wazazi wao, wakipata mwanume wao ni kuandika orodha ya matumizi kama bajeti ya serikali...
Define kuolewaDaaaah Natalia mbona unamkatisha tamaa kijana wa watu! Hebu muda mwingine usiseme ukweli!
Daaah mtoto ya New york unatoa maneno kama jirani yangu hapa tandale!
Of coz nampenda sana my girl friend but ana matumizi makubwa sana ya pesa na mengine siyo ya muhim sana na ukizingatia mimi kijanan najijenga bado. Naomba ushauri wenu ,je nimnyime au nifanyeje?
Mapenzi ya Zama Za kale .you have no money your out
Mpe kisogo
of coz nampenda sana my girl friend but ana matumizi makubwa sana ya pesa na mengine siyo ya muhim sana na ukizingatia mimi kijanan najijenga bado. Naomba ushauri wenu ,je nimnyime au nifanyeje?
Hatuuzi ILA USTAARABU KWENYE UTUMIZI WA MALI ZA UMMA NI MUHIMU!!!!!!!! We umeikuta katika hali nzuri na sio wa kwanza kuitumia, na kama unajua hutoiweka ndani, wapitia tu baasi hakikisha WAITUNZA na kuifanyia renovation za mara kwa mara ili Wenzio wakija kutumia waikute katika hali na ubora wa kuridhisha!!!!
Wee kijana mdomo wako unakutana na mswaki mara ngapi kwa mwaka?!
1.Mpe tu na wala chenji usiulizie, ndio uanaume huo. usipo mpa anaweza akaamua kuzitafuta hata sehemu isiyofaaOf coz nampenda sana my girl friend but ana matumizi makubwa sana ya pesa na mengine siyo ya muhim sana na ukizingatia mimi kijanan najijenga bado. Naomba ushauri wenu ,je nimnyime au nifanyeje?