Matumizi ya USD na TZS ndani ya Tanzania

R Mbuna

JF-Expert Member
Dec 30, 2015
2,283
5,359
Habari zenu wana jukwaa.

Juzi nilienda kwenye ofisi moja hivi inahusika masuala ya uwakala wa meli yaani (SHIPPING LINE) sasa walinipa invoice yao ikiwa na figure ya usd halafu wakaweka na exchange rate ya siku husika. Tatzo lilikuja nilipotaka kulipa kwa hela za nchi yangu yaani shilingi ya Tanzania wakanigomea. Je kwa stahili hii currency itapanda kweli kama internal payments tu wabongo wenzetu wanazikataa hizi za madafu.

Hili pia ni jipu jamani tukaseme wapi maana hao SUMATRA wenyewe wanapokea malipo yao kwa ajili ya kutoa vibali vya uwakala in terms of usd.
Nawakilisha kwenu wanajamvi
 
Back
Top Bottom