Matumizi ya u torrent

Matumizi ya u torrent

teac kapex

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
470
Reaction score
137
Wadau naomba kujua matumizi ya u torrent ninafahamu mengi lkn Kwa hili limenipiga chenga
 
image-2020-10-05-14:13:26-354.jpg

Kazi yake ni hiyo
 
Ni application inayotumika kudownload vitu mbalimbali kama music, videos, movies, books, etc katika mfumo wa peers ambapo kunakuwa na seeders na leeches. Mara nyingi technology inayotumika hapa ni through magnet link ambayo haipotezi connection kwa muda mrefu sana even years. Download ya hii application inweza kuwa mafile mengi kama mfano folder la nyimbo mia, au complete series ya episode 20 n.k.
Pia ili kudownload kwa u-torrent inatakiwa uwe unatumia torrent sites. Sio kila kilichopo online utakidownload kwa Torrent. Torrent sites ni kma yts, kikas, piratesbay, torrentz etc.
Nimejaribu kuelezea ninachokifahamu na experience yangu tuu. Kama kuna swali uliza tena.
 
wenyewe kujua serises zenye maadh kama viking, game of throne, last kingdom anipe jmn napenda sanaa hiv serises
 
Picha umeweka lakini hakuna maelezo yoyote hebu fafanua kidogo nipate pa kuanzia
Torrent ni njia ya kudownload vitu kwa kupeana baina ya mtu na mtu.

Mfano unadownload game playstore, ile ni njia ya kawaida kitu kinatoka kwenye server ya google kinaingia kwenye simu yako.

Ila torrent yenyewe mnapeana wenyewe kwa wenyewe kitu kinatoka kwenye simu yako kinakuja kwangu na mimi nikimaliza nampa mwengine etc.

Hapa ndio unapata mambo matatu
1. Seeder, hawa ndio watu wenye file kwenye kifaa
2. Leecher, hawa ndio wanadownload file toka kwa seeder
3. Tracker, hii ndio inafanikisha zoezi kwa kuunganisha seeder na leecher.
 
Ni application inayotumika kudownload vitu mbalimbali kama music, videos, movies, books, etc katika mfumo wa peers ambapo kunakuwa na seeders na leeches. Mara nyingi technology inayotumika hapa ni through magnet link ambayo haipotezi connection kwa muda mrefu sana even years. Download ya hii application inweza kuwa mafile mengi kama mfano folder la nyimbo mia, au complete series ya episode 20 n.k.
Pia ili kudownload kwa u-torrent inatakiwa uwe unatumia torrent sites. Sio kila kilichopo online utakidownload kwa Torrent. Torrent sites ni kma yts, kikas, piratesbay, torrentz etc.
Nimejaribu kuelezea ninachokifahamu na experience yangu tuu. Kama kuna swali uliza tena.
Mkuu naweza kudownload "ROOTS"? Ile min series ya KUNTA KINTE. Niangalizie ili unidadavulie hapa nikaslide nayo make naitafuta sana
 
Yaani mpaka hapo bado sijaelewa kitu. NidownloaD U torrent na baada ya hapo naitumiaje sasa na hao seeder nawapataje?
 
Seeder utawaona kwenye website husika ya kudownloadia torrent, mara nyingi idadi yake inakuwa kwa rangi ya kijani.
Polish_20201210_181155828.jpg

Na namna ya kuitumia unaingia website ya kudownloadia torrent unasearch unachotaka kisha click kialama cha sumaku kudownload automatic itaanza kudownload kwenye u torrent yako.

Polish_20201210_181607015.png

Website tumia hii
 
Yaan kama ungekuwa ni wewe hujui ukawekewa picha tu bila maeLezo tyr ungeanza kuTumia ukiwa umEelewa kweLi?

Ukiangilia hiyo picha unaelewa labda kama umejitoa ufahamu. BTW ungeingia google majibu yote ungepata huko kama hutaki ya sisi wananzengo
 
Ni application inayotumika kudownload vitu mbalimbali kama music, videos, movies, books, etc katika mfumo wa peers ambapo kunakuwa na seeders na leeches. Mara nyingi technology inayotumika hapa ni through magnet link ambayo haipotezi connection kwa muda mrefu sana even years. Download ya hii application inweza kuwa mafile mengi kama mfano folder la nyimbo mia, au complete series ya episode 20 n.k.
Pia ili kudownload kwa u-torrent inatakiwa uwe unatumia torrent sites. Sio kila kilichopo online utakidownload kwa Torrent. Torrent sites ni kma yts, kikas, piratesbay, torrentz etc.
Nimejaribu kuelezea ninachokifahamu na experience yangu tuu. Kama kuna swali uliza tena.

elekeza seeders na leeches
 
Seeder utawaona kwenye website husika ya kudownloadia torrent, mara nyingi idadi yake inakuwa kwa rangi ya kijani.
View attachment 1646336

Na namna ya kuitumia unaingia website ya kudownloadia torrent unasearch unachotaka kisha click kialama cha sumaku kudownload automatic itaanza kudownload kwenye u torrent yako.

View attachment 1646338

Website tumia hii
Asante angalau naendelea kupata mwanga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom