Matumizi ya u torrent

Matumizi ya u torrent

Seeder utawaona kwenye website husika ya kudownloadia torrent, mara nyingi idadi yake inakuwa kwa rangi ya kijani.
View attachment 1646336

Na namna ya kuitumia unaingia website ya kudownloadia torrent unasearch unachotaka kisha click kialama cha sumaku kudownload automatic itaanza kudownload kwenye u torrent yako.

View attachment 1646338

Website tumia hii
Mkuu umenisaidia pakubwa sana. Nimeipata ROOTS 2016. Ubarikiwe sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom