Matumizi ya simu katika Mahusiano

 
hane muni huwa haziishagi bana,
utaona mwenyewe ukiingia kundini, saa ya kununa zinapumzishwa wakati wa vicheko zinaendelea
You are right! Hanemuni zitaishaje wakati kila siku tunadumisha mila?
 
si kwa ubaya, sometime nataka tu kujua kama kama hubby bado analipa, yani kama kuna vidada vinamshobokea au vp ili nijue thamani yake niongeze manjonjo. inaitwa self assessment.

Mmh sista, ya kweli haya? ni self assessment au abiria chunga mzigo. haya assume analipa, na umekuta kile unachokihofia reaction yake ni nini high blood pressure au unam-pat on the back kuwa, hee mshirika kumbe bado unalipa!

Niwe mkweli, mie ugonjwa wa moyo siutaki na watoto bado wadogo, simu yake wala sihangaiki nayo, hata iite kama king'ora cha ambulance, atakuja kuikuta atakapokuwa tayari!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…