Huyu msichana nampenda sana tena sana na yeye ananipenda ..huwa sipendagi kushika simu yake ila kuna siku nilishika simu yake akaichukua ghafla akafuta meseji nikamuuliza kwa nini amefuta akasema kuwa imetoka kwa ex wake na hakutaka niione..sasa nimwache aendelee kuwasiliana na ex wake ama nifanyeje?
Huyu msichana nampenda sana tena sana na yeye ananipenda ..huwa sipendagi kushika simu yake ila kuna siku nilishika simu yake akaichukua ghafla akafuta meseji nikamuuliza kwa nini amefuta akasema kuwa imetoka kwa ex wake na hakutaka niione..sasa nimwache aendelee kuwasiliana na ex wake ama nifanyeje?
the boss baada ya kubadilisha avatar yake reply zake haziendi kwenye "censorship dept" zinaenda straight kwenye kidonda ndiii...........Anyway dawa chungu ndio inayoponyeshafind a new hobby
women can be a source of stress and unhealthy life
find a new hobby
women can be a source of stress and unhealthy life
kijana naona achukue ushauri wako tu kama kweli ana nia na huyo bintiHayo ya ex wake yasikutishe mkuu, alivyofanya ni sahihi kabisa maana hataki uumie, we endelea na mipango yako ya ndoa.
Dah!! . . . . . . . . .
Huyu msichana nampenda sana tena sana na yeye ananipenda ..huwa sipendagi kushika simu yake ila kuna siku nilishika simu yake akaichukua ghafla akafuta meseji nikamuuliza kwa nini amefuta akasema kuwa imetoka kwa ex wake na hakutaka niione..sasa nimwache aendelee kuwasiliana na ex wake ama nifanyeje?
updates!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Jamani huyu msichana kweli anayo nia njema na mimi kweli? tar 26 nilimkataza asiwasiliane na ex wake huyo bila ya kunihusha akanielewa sasa tar 29 akambeep huyo ex wake wakawa wanachati kwenye yahoo.. ..
na wameahidiana kutumiana meseji ili wawe wanachati huko yahoomessenger
kweli huyu mdada ana nia njema na mimi kweli?halafu kial saa ananinunia nikimuuliza kuhusu huyo ex wake anakuwa kama mbogo ananuna mpaka basi..eti wadau hapa kuna maisha kweli hapa??
naomba kama una matusi uachane na thread yangu nahitaji ushauri na wala sio kebehi. najua sio vizuri kukagau vitu vya mpenzi wako ila ukiona kuna kitu kimebadiliak naona ni vema kukagua .. nafanya hivi kwani natyaka nioe na huu ndio umri wangu wa kuoa so sitaki niingie mkenge .
Regards!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
mdoe haya yanayokutoea nadhani ndio yanayotokea kwangu ..kwani huyu mdada nilimkataza tar 26 asiwasiliane naye bila ya kunihusha ila nimeona kuwa tar 29 alimbeep huyo ex wake wakawa wanachati kwenye yahoo..ila kitu kinachonishangaza ni kuwa kila nikiongelea kuhusu huyu ex wake basi huyu msichana anakasirika sana ananuna siku nzima hata siku mbili..sijajua bado nifanye nini ..ila Mungu ananipenda kwnai nilikuwa kwenye process za kwenda kumtambulisha kwetu sasa naona bora nijua kabisa kinachoendelea ili nijue la kufanya kabla sijapeleka aibu nyumbani kwetuThe same same thing once happened to me! Nikamwambia kama anataka kuwa na mimi abadili namba ili huyo X asiipate! Akabadili. Baada ya miezi 3, nikashika simu yake ghafla. Nikakuta kambip X wake na inaonekana huyo X hakuwa anaikumbuka namba ya huyo msichana, so akawa anauliza we nani? Msichana akajifanya kumdanganya, ila wakawa wanachat sana bila ya jamaa kujua anachat na X wake na msichana akawa anaenjoy sana kuchat. Mpaka hapo, mimi sikua najua anachat na nani, coz nilipouuliza aliniambia alikua anachat na mtu ambae msichana alikosea namba wakati wa kubip, nikaona the whole thing ni utoto. Siku ya siku, nikaona jamaa amegundua af bint anaendelea kunificha, mwisho nikagundua alikua ni X wake. Nikachukua simu ya bint kutaka kumpigia, bint alikua tayari tupigane tuuane kuliko nimpigie msela. Mwishowe kimabavu nikampigia msela, nilichokipata, sitamani hata kukumbuka. Nikachunguza kwa marafiki za msichana, nikaja kugundua kuwa yule msichana alikua anampenda sana X wake na hatakaa apate mwanaume kama yeye! Na walishafanya mengi sana ambayo sio rahisi kumsahaulisha. Nikajivua gamba fasta, maisha yakaendelea. Be carefull.
Caroline Danzi kwa ushauri ila kweli inabidi nichukue maamuzi magumu ..Unamlelea ex wake. Kula kona unasubiri nini ufanie wamelalal kitandani. Acha kujipa moyo kwenye mapenzi yasiyowezekana.
Caroline Danzi kwa ushauri ila kweli inabidi nichukue maamuzi magumu ..
Mtu akishaanza kucheat ujue hiyo ni tabia hawezi acha. Bado mko kwenye mapenzi ya kawaida akifika ndani mwako? Atakudharau na kukupotezea muda.
Anamkumbuka kwa sababu unashindwa kumkeep busy!!!-An empty mind!!
dah nin imkuu toa ushauri wako hapa kaka
ina maana sitaweza kumbadilisha tena?