Matumizi ya simu katika Mahusiano


kawaida sana hiyo..nimeshazoea,yaani naweka headphones anaongeeeeeeeeeea we mi naitikia tu majibu kama ok,really,tats good n.k mpaka nipitiwe na usingizi ndo anakata simu otherwise nisipoongea naye full ugomvi
 

Naelewa kuna watu tofauti. . That much i know! Hayo ni mawazo yangu juu ya watu wa hivo na ni uhuru wa mawazo! Wako kama wewe wako kama mimi! Na sielewi iyo secretive life una maana gani! Sina haja ya kukuelezea aina ya maisha yangu anyway!
 

Exactly my point nyumba kubwa! Hapa dalili ya mvua mawingu!
 

Ni kweli, huu ni usumbufu usio na tija!
 
Nyakati hizo mwenzio anaogopa giza yupo pekee kitandani. Sasa ampigie nani lil afariji?
 
madam canta, anayefanya hivyo ni mwanamke tena mwenye watoto, ameshaingia leba zaidi ya mara mbili tangu kuolewa kwake

Mimi nilishakuwa na mwanaume dizaini hiyo; yaani ni kero tupu, hii monitoring ya simu!
 
Wadau nimerudi tena baada ya kimya kirefu kiasi..
Hili limenitokea naombeni maoni yenu.
Baada ya pilikapilika za shughuli Juzi,nkajilaza na nikaamka mida ya saa sita usiku kuupigia simu ubavu wangu wa pili.
Tukaongea vizuri tu,lakini ghafla nkaambiwa subiri,simu ikakatwa. Nikapiga tena,simu yake iko bize,tena na tena naambiwa waiting hatimaye nkachoka. Nkatuma msg ifuatayo.
“si umeamua kutupanga,na katika list mi sina umuhimu,usintafute tena“
Kisha nkazima simu. Asubuhi nkakuta msg amejibu hivi;
“kama unahisi nimewapanga poa hamna shida ila nlikua naongea na mtu kuhusu mchongo wa ajira“

Kiukweli sijajibu kwa sababu zifuatazo.
1.mchongo wa kazi wanajadili usiku wote huo?
2 na si mara ya kwanza kitu km hicho kutokea na nlishamkanya awe na mipaka ya kuongea na watu baki usiku

Basi sijajibu msg ile mpk sasa.Na kila akipiga sipokei. Leo kanitumia msg hii hapa.
“kuchuniwa raha we acha tu,ukipiga simu haipokelewi,text hazijibiwi,mbona watu watakoma mwaka huu?“

Sijajibu msg hii.Na mpk sasa namwona mzushi ananicheat. Je wewe unaonaje? Ungekua ww ungefanyaje?
 
unajua haya mambo ya calls usiku bala nikutaka lawama
sasa mie naona wewe uliahaona upo part of the list na umeona bora kusepa wicb is gud so potezeaaaaaaa
 
Sasa hupokei simu akupe maelezo sie unataka tukujibu aje?
Unajichosha roho yako, pokea simu akudanganye kidogo roho itulie. Otherwise usingehitaji ushauri hapa!

 
Mkuu pamoja na kutojibu text sms na calls zake, I bet bado karoho kako bado kapokapo kwa huyo g/f wako, ndiyo maana unaomba ushauri. Kweli si kweli?
 
Ndio mambo ya mapenzi ya utandawazi mkuu. Enzi zetu tukiwa twaandikiana vijibarua kwa P.O. Box kulikua hamna hizi presha. Angalia asikuletee maradhi, kama vip kila mtu "kivyake".
 
Mkuu pamoja na kutojibu text sms na calls zake, I bet bado karoho kako bado kapokapo kwa huyo g/f wako, ndiyo maana unaomba ushauri. Kweli si kweli?

Mkuu ni ukweli yani hapa karoho kanauma dizaini nataka nipigwe blah blah za kuridhisha yan beyond resonable doubt ndo ntulie
 
duh, wee kisa cha kupiga usiku wa manane ni nini?
Afu hutaki aongee na wengine?

 


Hebu punguza wivu bana......huo mchongo wa ajira ni from USA, na hiyo ilikuwa ni telephone interview tu broda...!!!! Kwani hujui mida ya saa 6 usiku Bongo kwa Calfornia ni working hours?!
 
Hebu punguza wivu bana......huo mchongo wa ajira ni from USA, na hiyo ilikuwa ni telephone interview tu broda...!!!! Kwani hujui mida ya saa 6 usiku Bongo kwa Calfornia ni working hours?!

Hehe nice reasoning..lakini alisema ni mchongo wa pale pale mjini!
 
Mkuu pamoja na kutojibu text sms na calls zake, I bet bado karoho kako bado kapokapo kwa huyo g/f wako, ndiyo maana unaomba ushauri. Kweli si kweli?

Usijifanyishe kufa wakati hata kujifanyisha kuzimia huwezi!!!
 
duh, wee kisa cha kupiga usiku wa manane ni nini?
Afu hutaki aongee na wengine?

Sa si ndo muda pilika zimeisha nimepata nafasi?
Kuongea na wengine aongee lakini kwa priority husika na mazingira yasiyo na utata..
 
heri yangu mimi mwisho wa kupiga simu saa kumi jioni .....kupigiwa kumi na mbili jioni....kupiga/kupigiwa....kuanzia saa mbili na nusu asubuhi.....period.....

 
Mkuu kama unataka ku-prove beyond reasonable doubt, basi pokea SMS zake na calls zake, weigh out, fanya analysis kwa kina. Kisha amua wewe kama wewe.

Kuna watu ukiwapa maskio tu utawapa na moyo..it has happened before with the same girl
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…