Matumizi ya simu katika Mahusiano

Nisamehe, nilijua stori yako kumbe ya 'rafiki' yako. Sasa umri huo bado una marafiki wenye magelofrendi eh?
madam nitake radhi, umri huu kuwa na gelofriend. ntakusemea kwa baba ngina na siku ya upatanisho nakuja na sime, ukijidai huna kosa na kuleta ubishi nafnya kama yule polisi wa magomeni kule kongowe
 
Muhimu kukaba hadi penati
Ikibidi nakaba hadi refa na kocha
Asipokukaba yeye akukabe nani????

Kaa hupendi baki singo naona huwezi kumudu album.
Hujawahi ona timu imezidiwa ikakaba washabiki, njoo kwa mtogole tukufunze.
Ukweli tayari unaujua kwamba haupo pekee yako unachotaka kuakikisha ni nini sasa, kwamba yupo round ya ngapi ama? Save ur self from heart diseases get some rest..
 

kina dada wanaojitambua hawapigi wanapigiwa, na ukijampata anayejitambua usijelia humu ooh mbona hanipigii hadi nimpigie. Kina kaka bwana, hawaishi kulalamika.
 
Nisamehe, nilijua stori yako kumbe ya 'rafiki' yako. Sasa umri huo bado una marafiki wenye magelofrendi eh?

madam usijidanganye eti hiyo ni kwa ma-gf tu. Watu wazima na akili zao na watoto wa kutosha bado wanaendeleza huo wivu wa kijinga. Mtu tuko club tunaangalia manu wanavyoisasambua arsenal-mnisamehe jamani wazee wa mapuresha-kila baada ya nusu saa mke anapiga simu tena anataka aongee na mimi shemejie ili aamini kwamba jamaa yuko huru.

Wakati mwingine mtu unabaki unacheka tu. Ukikumbuka mara ya kwanza mtu alivyokuangalia toka miguuni hadi kichwani, then umemtia ndani huo wivu hata huelewi hivi ilikuwaje first time alionyesha kutokuwa na muda lakini anavyokubananisha sasa utadhani bila mimi yeye hawezi kuwepo duniani?

mapenzi ni kizungumkuti sana!
 
kina dada wanaojitambua hawapigi wanapigiwa, na ukijampata anayejitambua usijelia humu ooh mbona hanipigii hadi nimpigie. Kina kaka bwana, hawaishi kulalamika.

nakubaliana na ulolisema madam........ila mie nadhani hii maneno ni 'two way process' na ninachoongelea hapa ni hiyo 'extreme case' ambayo hadi mtu anaboreka na kujuta kuoa mtu wa aina hiyo
 
kwanza shukuru umepigiwa, wengine hata hatupigi hiyo simu, twakuacha uhangaike mwenyewe
 
Mpe pole swaiba lol!
Ndio faida za kuhangaika na visichana,
Mwambie siku nyingine atulize moyo kwa kudeal na mwanamke.
 
Hivi mie nakaa macho mpaka saa saba nane nasubiri ndo nikupigie simu kisa na mkasa hata kama sina usingizi ya nini kumsumbua mtu..
 
Mpe pole swaiba lol!
Ndio faida za kuhangaika na visichana,
Mwambie siku nyingine atulize moyo kwa kudeal na mwanamke.

madam canta, anayefanya hivyo ni mwanamke tena mwenye watoto, ameshaingia leba zaidi ya mara mbili tangu kuolewa kwake
 
madam canta, anayefanya hivyo ni mwanamke tena mwenye watoto, ameshaingia leba zaidi ya mara mbili tangu kuolewa kwake
My dia kuingia leba au kuwa na miaka mingi haimfanyi mtu kuwa mwanamke,
Kuna mabinti ni wadogo tu lkm kwa tabia zake na mambo yake unajiskia aibu kumwita binti kwa anakuwa na qualities za mwanamke,
Hope umeielewa point yangu.
 
nakubaliana na ulolisema madam........ila mie nadhani hii maneno ni 'two way process' na ninachoongelea hapa ni hiyo 'extreme case' ambayo hadi mtu anaboreka na kujuta kuoa mtu wa aina hiyo

mtu kuoa anayem-bore huo ni uamuzi wake, labda ndio taste yake katika mapenzi wewe nini kinakuuma?
 
mwambie aachane na vibinti vinavyowaza mapenzi tu atafute wadada wanaofikiria maisha.
 

Hivi mtu unaweza kumwongelea mwanamke unayempenda hovyo namna hii? Eti mwanamke kaingia labour mara mbili. . Ooh ananipigia simu saa 7 yani unasound una hasira kabisa nazani hilo penzi limefika mwisho uyo dada ndo hajatambua na hakukupatia wewe mana wanaume wa namna hii unamtia nidhamu kabla ujawa nae ajue kuna kupenda kweli! Labda unachangamsha genge tu mi binafsi siwezi piga simu muda huo manake hapo si bure unamzingua binti wa watu hawezi anza tu kukupigia mida michafu iviivi si ndo mmezoeshana! labda kama ulioa mwendawazimu!
 
Well said Twande. Hivi mtu kama una mfeel akakupigia saa nane usiku akisema usingizi umegoma ameona akutwangie; kwa nini unakimbilia kwenye kuhisiwa vibaya?
Kwa nini sauti ya umpendae igeuke kuwa kero????

Hizo ni dalili za penzi kuchuja kama si kuisha kabisa.
:juggle:


 

Inaoneka wewe umejiweka kama ndo 'standard measure' kwamba anything which happens that you do not believe in it, then such a thing does not exist in this world. ndo shida ya kuishi secretive life hadi unashindwa kinachoendelea outside you own world..........work up, speak and mix yourself with the 'world', there is quite enough to know, learn and understand in this globe.

Life is full of negatives and positives.

Wewe ni kati ya wale wasioamini kuwa ndani ya nchi hii kuna watu kila uchao huwa wanalala na njaa.
 

rudia kuisoma tena hiyo post utajua the 'root' of argument. Kusoma tu jambo haina maana kama hujaelewa kinachoongelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…