Matumizi ya simu katika Mahusiano

Mi huwa sizimi ila sipigi namtegeshea yeye ndio aanze, na nina mshukuru Mungu mara zote huwa nafanikiwa, maana huwa na imagine akiamua kuchuna itakuwaje!

hahahahahahahah............ usinichekeshe mie
unauchuna huku kiroho kinakudunda dunda........lol!.. sijui atanipigia
 
Nakubaliana nawe King'asti kwamba kama umeudhika kupita kiasi basi ni bora tu kuzima hiyo simu, lakini utazima kwa muda gani? masaa machache au siku chache? Kwa maoni yangu ni vizuri kuongea kama mnaweza kuongea kiungwana bila ya kuwepo "shouting match" lakini kama mmoja wa wahusika au wote hamuwezi kuongea kistaarabu katika kutafuta suluhisho basi ni bora kusepa tu kuliko mtu aanze kuscream on top of his/her lungs na kutoa mimacho kama vile anataka kumeza mtu.
 
WanaJF natumai mko poa….
Mara ngapi hutokea wewe ukazima simu au kudelete namba ya mwenzi wako pindi mnapokosa maelewano? kudelete namba etc na jee njia hiyo inasaidia kuondoa tatizo?
nawasilisha

Binafsi siamini kama hiyo ni njia sahihi, naona kama ni upuuzi tu na kuwa na maamuzi ya kitoto. Samahani sana ...
Kumbuka tu kuwa running from the problem is not solving the problem
 
Binafsi siamini kama hiyo ni njia sahihi, naona kama ni upuuzi tu na kuwa na maamuzi ya kitoto. Samahani sana ...
Kumbuka tu kuwa running from the problem is not solving the problem

Ni kweli ila pia kuna msemo wanasema kama unaweza kukimbia tatizo fanya hivyo (walk away from trouble) badae ukishatulia si utarudi kulishughulikia?
 
Mi huwa sizimi ila sipigi namtegeshea yeye ndio aanze, na nina mshukuru Mungu mara zote huwa nafanikiwa, maana huwa na imagine akiamua kuchuna itakuwaje!

Kuna siku utakuja fanya hivyo utasubiri mpaka mwisho wa dahari, sababu naye anaona hicho kitu kwamba hua unauchuna. Ipo siku atachoka.
 
hahahahahahahah............ usinichekeshe mie
unauchuna huku kiroho kinakudunda dunda........lol!.. sijui atanipigia
Jifunze kidogokidogo kuwa wa kwanza nawewe kumtafuta maana siamini kila siku anakuwa yeye ndio mwenye makosa?
 
Hii ipo sana na huwa inanishangaza sidhani kama ina msaada ila pengine humpa faraja yule anayezima au kutopokea hiyo simu
 
Unajua kwanini waungwana wanasema ni stori ya ki-shigongo shigongo? Umesema huyo xgf hamkuachana kwa shari na hadi mnapigiana simu maana yake hakuna tatizo sasa iweje akudhalilishe ghafla tu kwa goma lako jipya? Kwani alikuwa na ugomvi na wewe? Kama alikuwa na hasira na goma jipya si angelichana lenyewe?

Otherwise itakuwa xgf anatumia msuba mkali sana
 
WanaJF natumai mko poa….
Mara ngapi hutokea wewe ukazima simu au kudelete namba ya mwenzi wako pindi mnapokosa maelewano? kudelete namba etc na jee njia hiyo inasaidia kuondoa tatizo?
nawasilisha

Kuzima simu inategemea na tatizo lenyewe. Kama mmojawapo kati yenu anataka suluhu, si vema kuzima simu.
Ila kuna wakati mwingine kichwa kikipata moto, halafu mwenzio bado anaendelea kuzima huo moto kwa petrol...! Kama si kui-mute simu, naizima kabisa ili kichwa kipate kupoa kwanza. Ukiwa na hasira, ni rahisi kutoa majibu ya maudhi zaidi.
 
if i love him ........i won,t do it!

WanaJF natumai mko poa….
Mara ngapi hutokea wewe ukazima simu au kudelete namba ya mwenzi wako pindi mnapokosa maelewano? kudelete namba etc na jee njia hiyo inasaidia kuondoa tatizo?
nawasilisha
 
Mi huwa sizimi ila sipigi namtegeshea yeye ndio aanze, na nina mshukuru Mungu mara zote huwa nafanikiwa, maana huwa na imagine akiamua kuchuna itakuwaje!

hapa ndo mnaponiachaga hoi eti unamtegea ye ndo aanze...hata kama wewe ndo umemkosea?...ukintegea mimi imekula kwako
 
Ooooooooh, pole sana. hivi kwa nini unajiskia vibaya? kuna ukweli wowote hapo?
 
Ni tabia mbaya sana kumtukana mtu that much baada ya kuachana naye, ni upumbavu na utoto, muache mtu aishi happy kwenye maisha yake, kuachana kwenu kusiproduce chuki zisizoisha, samehe na uishi na ufurahie maisha yako na yeye pia umuache aishi na afurahie maisha yake, yaani unakubali kasoro zake na kuwa naye, halafu mkiachana, unamtangaza kwa watu, huo ni upuuzi, watu waache hiyo tabia.
 
kuwa na kapenseli ni noma. inabidi uongeze ufundi wa ziada la sivyo hata huyu new gf wako akiendelea kutafakari hayo maneno na huku kweli humfikishi unapiga muhuri atakukimbia.

Sina cha kukushauri mkuu isipokuwa nimecheka sana!!!
 
Kaka si unajua yanarun dunia haya mapenzi mkubwa.
Ukweli siku tayar kumpa ila alikomaa hadi nikampa du.
Najutia uamuzi wangu.
 
Kaka hapa umenipa msamiati huyu ni mtu au jina la dawa? na je anapatikana wapi?"MziziMkavu"
nisaidie mtu wangu.
 
Ila kwa sasa kuna binti namfikiria lakini nahic watakuwa hawa hawa.
Nitajitahidi kuish nae mbali na hapa.
Na pia cm yangu hatapokea wala kuifungua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…