Matumizi ya simu katika Mahusiano

Leo utakula senksi nyingi sana! Sasa fanza hivi: Delete posti zako hizi zenye hii twisheni. Bimkubwa hachelewi kuwa anapitia humu! Chondechonde!
hahahahahah!

umeniua mbavu

enewei,ngoja nizidiliti.lakini umesha zikoti sasa!labda uzidiliti wewe kwanza
 
Mimi hizi topic za namna hii huwa sipendi kuchangia zinanikumbushiaga machungu.

Wangu alikuwa ni yule wa YAKE YAKE YANGU YAKE. Nikitoka kazini tu anaponipick anachukua simu yangu na kuiweka mfukoni kwake ndo huipati hadi kesho anapokushusha ofcn asubuhi. Akifika nyumbani anaikaguaaaaaa na maswali anayatunga mbona hii hapa missed call haina jina ni nani? Mwambie ni mtu alinibeep simjui ni kosa unamjua na ndo mana hujasave jina yaani ni kwesi. But ya kwake kwanza ina pin code kama nne kisha kila aingiapo ****** yuko nayo yaani hadi akilala anaiweka chini ya mto wake ah!! Bahati yake sikuwaga na tabia ya ugomvi.

MJ1 nakuambiaga una roho tofauti kabisa jamani.....mie huyu angenifaa sana.
 
not fair at all as MJ1 said
better i,NOT BE FAIR

kwa sasa atanisamehe kwakweli!mpaka labda akiwa na watoto kadhaa TUKIJAALIWA!

dar hii noma mazee,watu watakusaidia kupiga starter ukijifanya mzungu!lakini mimi mila kama kawa:D
 
kuna lijamaa lilimpigia sim waif tu bii wake ,bahati mbaya sim kapokea toto lake la kiume, jamaa lilianza kumsagia mwanawe bila kumuuliza. nanukuu " wee mshenzi nimekufuma leo, kumbe nikiondoka unaingia wewe sio? basi nikirudi nampa talaka umuowe wewe" mwisho wa kunukuu. yule mtoto akajibu "mama yupo jikoni", jibaba likabaki uso mdogo kama "mgombea ubunge" alokosa kura.

hizi sim zina balaa unprediktebo.
 
mimi naangaliaga simu yake mbele yake na yeye anaangalia ya kwangu mbele yangu huku nikimkodolea macho hamna kujificha ficha wala nini
 
hehehehe!
nimecheka mpaka nimelia

lakini nakupongeza sana,WEWE UMEANGALIA MBALI SANA

G usicheke...alikuja jioni kavimba hafai, malumbano yakaanza hapo, na kuambiwa kama namfikira tofauti bac nakosea sana, je kama ulikuwa unapigiwa cmu nimepata matatizo, ajali/nimeumwa ghafla?....nimejitahidi hiki kitendo kimenishinda kabisa....
 
better i,NOT BE FAIR

kwa sasa atanisamehe kwakweli!mpaka labda akiwa na watoto kadhaa TUKIJAALIWA!

dar hii noma mazee,watu watakusaidia kupiga starter ukijifanya mzungu!lakini mimi mila kama kawa:D

mila ni muhimu kuliko katiba ya nchi. nasubiri azeeke zeeke tu niingie porini.
 
kuna lijamaa lilimpigia sim waif tu bii wake ,bahati mbaya sim kapokea toto lake la kiume, jamaa lilianza kumsagia mwanawe bila kumuuliza. nanukuu " wee mshenzi nimekufuma leo, kumbe nikiondoka unaingia wewe sio? basi nikirudi nampa talaka umuowe wewe" mwisho wa kunukuu. yule mtoto akajibu "mama yupo jikoni", jibaba likabaki uso mdogo kama "mgombea ubunge" alokosa kura.

hizi sim zina balaa unprediktebo.
ha ha haaaaaaaaaaaaaa
 
G usicheke...alikuja jioni kavimba hafai, malumbano yakaanza hapo, na kuambiwa kama namfikira tofauti bac nakosea sana, je kama ulikuwa unapigiwa cmu nimepata matatizo, ajali/nimeumwa ghafla?....nimejitahidi hiki kitendo kimenishinda kabisa....
...hata hivyo unapaswa kuwa huru na kuipokea simu ya mumeo!

it looks like kuna some scenarios HUNGEPENDA HATA KUZIFIKIRIA,WALA HUTAKU HATA KUJUA JUST IN CASE ZIKIWEPO!......:D

enewei,I CALL IT LOVE
 
Kwanza jiulize nini kinakusukuma kufuatilia yaliyomo katika simu ya mwenzako?

Hicho kinachokusukuma ndo kinamsukuma mwenzako ajaribu kuweka simu yake mbali nawe. Hata kama mnaaminiana anaweza kutokea mtu akatuma sms ya kizushi na ikachafua hewa ya mahusiano kwa muda kadhaa.

Nakumbuka niliwahi kumforwardia dada mmoja email ya jokes ambayo ilikuwa na some sexual content na kwa kuwa mume wake alikuwa na password yake ndo alikuwa wa kwanza kuisoma. Huyo jamaa hakujali kwamba email ile nilikuwa nimeforward kwa watu wengi, bali alikomaa kwa nini mke wake atumiwe email kama ile!

Ni vigumu sana kumuelezea Mtanzania kama huyu mpaka akakuelewa!
 
mila ni muhimu kuliko katiba ya nchi. nasubiri azeeke zeeke tu niingie porini.
wewe menifurahisha sana leo...!ngoja nitaku pi-emu unipe kontakti zako tuonane jackies baadae upate kinywaji chako
 
kuna lijamaa lilimpigia sim waif tu bii wake ,bahati mbaya sim kapokea toto lake la kiume, jamaa lilianza kumsagia mwanawe bila kumuuliza. nanukuu " wee mshenzi nimekufuma leo, kumbe nikiondoka unaingia wewe sio? basi nikirudi nampa talaka umuowe wewe" mwisho wa kunukuu. yule mtoto akajibu "mama yupo jikoni", jibaba likabaki uso mdogo kama "mgombea ubunge" alokosa kura.

hizi sim zina balaa unprediktebo.

Hivi hakuna jinsi ya kubloku mtu asipokee simu? Yaani iite weeeee mtu akitaka kupokea, hola! Niko tayari kulipia twisheni fii ya hii lekcha! I want to save my marriage at any cost! Simu pekee ndiyo inayoweza nivunjia ndoa nikifanya masihara!
 
G usicheke...alikuja jioni kavimba hafai, malumbano yakaanza hapo, na kuambiwa kama namfikira tofauti bac nakosea sana, je kama ulikuwa unapigiwa cmu nimepata matatizo, ajali/nimeumwa ghafla?....nimejitahidi hiki kitendo kimenishinda kabisa....

ulifanza vema tu mamii, bora angepiga ya kwako basi kukuulizia na sio ya kwake...
 
lakiii unajua kuna mbinu mpya imegundulika namna ya kuiblock simu yako unapolala kwa CALL BARRING!ukiweka hiyo unamuachia simu wife hata siku mbili haiiti,wala sms haiingii lakini inatoa tu

vipi niiweke hadharani..........?
..Geoff, hebu weka hiyo kitu hapa nina imani utakuwa umetusaidia wengi humu...
 
mila ni muhimu kuliko katiba ya nchi. nasubiri azeeke zeeke tu niingie porini.

Unatumia kinywaji gani wewe? Elizaaaaaz! Leta bia tatu baridi kwa klorokwini hapa! Hahaha! Thats my boy! MILA iz ZEA to STAY!
 
Back
Top Bottom