Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,392
I have my principles. Am not the kind of a woman anayeweza ku tolerate kuishi na serial cheater. Kama nimepiga makelele haija work I would rather make tough decision kuliko kuishi na ndoa ya serial cheater. Open relationship kwangu haikubaliki.

Aaaah mie naangalia then nitafanya juu chini ajue nimejua basi nauchuna,tamaliza mabucha mangapi sasa
Mimi kuna siku nikiwa kwenye mkutano nikapokea msg hii 'kaka nimechanganyikiwa sana, demu nilimpenda nimemnunulia gari, nyumba nimempangia namkuta juu ya kiuno, natamani kufa'
Kwavile mm sio kaka na kwa ubinadamu manake yamemkuta mazito nikamwambia ( am sorry wrong number lakini pole sana ) jamaa akaendelea yaani hebu imagine! And lots of bla bla nikamwambia niko kwenye kikao siwezi kuchat
Lahaula saa kumi ananipigia nauliza nani mwenzangu ananiambia 'jamaa aliyefumania' nikajua huyu mtu ananifahamu na anatakaa kuniingia kwa usanii wa kufumania na ili nimwone maisha bora demu alimnunulia gari...
So msg wkt mwingine zinatumwa makusudi, ila mume wangu. Akiwa na msg kama hiyo yes ntataka kujua chanzo lolest mume anauma bwana...actually I trust him a lot so I hope to God I won't find such a msg ....

Hii staili kali sana...mwenzetu ukakosa gari na nyumba hivi hivi...

hahah Nsiande bana ati hubby ukiiona hii nigongee thanx! Nimekupenda bure dah

We acha tu...na mpaka leo nimesave number zake kama 'aliyefumania mke' maana hakawii kukurupuka siku nyingine...

Kuna siku rafiki yangu wa A level alinitumia msg kuwa anakuja dar kwenye harusi ya mate mwenzetu ambaye na mimi nilimchangia na alikuwa very popular na tulipanga class reunion ya members

Unfortunately siku ya harusi nilitingwa na kazi kurudi home mume akawa naye amechelewa amechoka hivyo classmates wakawa wananishambulia sana including huyo wa mkoani nikawajibu msg ' samahani nimeshindwa kuja maana nilikuwa sijatoa taarifa vizuri hivyo nimegomewa kutoka, lakini siku nyingine tutarekebisha'

Heheheheheh...hiyo ilikuwa group msg nakwambia after 3 days nilianza kupokea msgs za matusi mpaka mtoto akageuka tumboni!

Bahati nzuri 'wataalam' wa simu wakanipa frequent called numbers za hiyo sms, kupiga hiyo namba inayopigwa sana ikajidisplay jina la mate wangu...khee nikamuendea hewani ...nikamwambia mkeo ananisumbua sana na msgs, imagine mtu sijamuona tangu tumalize mtihani wa kemia enzi hizooooo!...mpaka mume wangu akawa ananionea huruma maana tulidhani mtu wa ofisini

Hizo ni case nakupa za mixed identity na hubby ukiona post hii nigongee thanks!
Na mie nimegonga...asione wivu akiziona nyingi...hahah Nsiande bana ati hubby ukiiona hii nigongee thanx! Nimekupenda bure dah

We acha tu...na mpaka leo nimesave number zake kama 'aliyefumania mke' maana hakawii kukurupuka siku nyingine...
Kuna siku rafiki yangu wa A level alinitumia msg kuwa anakuja dar kwenye harusi ya mate mwenzetu ambaye na mimi nilimchangia na alikuwa very popular na tulipanga class reunion ya members
Unfortunately siku ya harusi nilitingwa na kazi kurudi home mume akawa naye amechelewa amechoka hivyo classmates wakawa wananishambulia sana including huyo wa mkoani nikawajibu msg ' samahani nimeshindwa kuja maana nilikuwa sijatoa taarifa vizuri hivyo nimegomewa kutoka, lakini siku nyingine tutarekebisha'
Heheheheheh...hiyo ilikuwa group msg nakwambia after 3 days nilianza kupokea msgs za matusi mpaka mtoto akageuka tumboni!
Bahati nzuri 'wataalam' wa simu wakanipa frequent called numbers za hiyo sms, kupiga hiyo namba inayopigwa sana ikajidisplay jina la mate wangu...khee nikamuendea hewani ...nikamwambia mkeo ananisumbua sana na msgs, imagine mtu sijamuona tangu tumalize mtihani wa kemia enzi hizooooo!...mpaka mume wangu akawa ananionea huruma maana tulidhani mtu wa ofisini
Hizo ni case nakupa za mixed identity na hubby ukiona post hii nigongee thanks!
dada hapo kwenye kujua position hapo ndipo nakiri udhaifu mwe! Juzi nlikuwa namwambia mwenzi wangu kuwa natamani ningekuwa na zile hacra za kukamata glass ya maji na kumwagia maji usoni kama njia ya kuonyesha hacra pale akiniudhi to the maximam but siko hivyo!Nataka kuhisi kuwa kuna wanawake wanaogopa ku fight kwa kuwa hawajuhi position zao. Wanaogopa kuambiwa fungasha uende after all I love that other woman more than you. Kama wajua wewe ndio chaguo why afraid to confront him???
Niliwahi kuwa na mahusiano ya muda mfupi na binti mmoja hivi yapata mwaka sasa umepita. Na tangu wakati huo tumekuwa na mawasiliano ya mbali sana yaani tunaweza kuwasiliana mara moja baada ya miezi kadhaa, sasa jana ilikuwa moja ya siku hizo na ndipo stori inapoanzia,
Nilipokea simu mchana kutoka kwa huyu binti akidai alitaka kunipa hi tu, tukaongea kidogo na nikaahidi kwamba nikipata nafasi nitamtembelea siku moja. Usiku nikiwa tayari nimeshalala nikapokea simu tena kutoka kwa huyu binti na akaniuliza kama nilikuwa nimeshalala nikamjibu ndio akanitakia usiku mwema akakata simu.
Baada ya muda nikapokea tena simu ikitokea kwenye namba ya huyo binti tena ila nikaamka nikaipokea ila sasa sauti ikatoka ya kiume, sauti hiyo ikaniuliza kama nilikuwa namfahamu huyo binti (ikitaja jina lake) nikamjibu ndio akaniuliza ni nani kwangu nikamjibu huo ulikuwa usiku mwingi sana na sikuwa kwenye mood ya kujibu maswali ya aina hiyo, nikakata simu.
Baada ya dakika kadhaa simu yangu nyingine ikaita tena na nilipopokea nikakuta ni yule yule bwana na ananiuliza maswali yaleyale, Ah i got mad...........................................................
Hahahahaa lakini plan yangu sio kuendelea nayebinti kapita kwenye mikono mingi isiyo na viwango, miongoni mwao ni hilo lib'wege lilo lala nae.
Kama binti ana tabia za kukuvutia basi jipe muda, soon atakuwa wako. Tena na usiku uliopigiwa simu walikuwa wametwangana
Niliwahi kuwa na mahusiano ya muda mfupi na binti mmoja hivi yapata mwaka sasa umepita. Na tangu wakati huo tumekuwa na mawasiliano ya mbali sana yaani tunaweza kuwasiliana mara moja baada ya miezi kadhaa, sasa jana ilikuwa moja ya siku hizo na ndipo stori inapoanzia,
Nilipokea simu mchana kutoka kwa huyu binti akidai alitaka kunipa hi tu, tukaongea kidogo na nikaahidi kwamba nikipata nafasi nitamtembelea siku moja. Usiku nikiwa tayari nimeshalala nikapokea simu tena kutoka kwa huyu binti na akaniuliza kama nilikuwa nimeshalala nikamjibu ndio akanitakia usiku mwema akakata simu.
Baada ya muda nikapokea tena simu ikitokea kwenye namba ya huyo binti tena ila nikaamka nikaipokea ila sasa sauti ikatoka ya kiume, sauti hiyo ikaniuliza kama nilikuwa namfahamu huyo binti (ikitaja jina lake) nikamjibu ndio akaniuliza ni nani kwangu nikamjibu huo ulikuwa usiku mwingi sana na sikuwa kwenye mood ya kujibu maswali ya aina hiyo, nikakata simu.
Baada ya dakika kadhaa simu yangu nyingine ikaita tena na nilipopokea nikakuta ni yule yule bwana na ananiuliza maswali yaleyale, Ah i got mad...........................................................
Kwahiyo anataka kula kichwa changu kwa mara nyingine tena au?Huyo demu mtaani kwetu tunawaita WALA VICHWA tehe tehe tehe.