Matumizi ya shilingi mia

Matumizi ya shilingi mia

Hii ndio mia ambayo ungeweza kununulia eka 5 na kuolea na kulipia ada na ikabaki ya chibuku...
 

Attachments

  • IMG-20160212-WA0000.jpg
    IMG-20160212-WA0000.jpg
    34.2 KB · Views: 37
Mkuu inanikumbusha mbali sanaaaaa tu
385 ndio ilikuwa kima cha chini. Duh
Mkuu wala sitani na ushahidi ninao if need be nitauleta hapa for your information nilikuwa naenda Benki kutoa na simalizi zote! Matumizi yangu ya chakula na starehe Sansui na Mbowe Disco inclusive!!
 
Mia yangu ya kwanza niliyoitolea jasho kwa kusomba marofali Mwaka 1984 nilinunua shati la kitenge
Duuhh kumbe wengine humu ni watu wazima sana...mwaka 1984 hata bado sijazaliwa wewe tayari unasomba matofaloli
 
Mkuu wala sitani na ushahidi ninao if need be nitauleta hapa for your information nilikuwa naenda Benki kutoa na simalizi zote! Matumizi yangu ya chakula na starehe Sansui na Mbowe Disco inclusive!!
Mkuu nilikuwa nakwenda Mbowe Na keys club nikitoka Dodoma.Safari ya Siku nzima.Duh
Siku nyingi.
 
Mkuu nilikuwa nakwenda Mbowe Na keys club nikitoka Dodoma.Safari ya Siku nzima.Duh
Siku nyingi.
Keys nilikuwa sipapendi sana mzuka ulikuwa Mbowe au Africana Gogo baada ya Sea view/Sansui kudorora.Dj Jerry Koto, Seydou, Choge Sly,Eddie sally,John Peter,James Bure a.k.a JB,Clement and the list goes on..... and on
 
Back
Top Bottom