Matumizi ya shilingi mia

dalaber

JF-Expert Member
Aug 6, 2014
1,806
1,646
c23c92f809a1bc0262072023dc7972b4.jpg
 
Duh, huyu jamaa ni mbunifu wa habari...ila habari hii ina upungufu mkubwa. Mwaka 1962 hakukuwa na sarafu ya sh. 100. Kwa kumbukumbu zangu mwaka 1962 na mpaka mwaka 1972 hivi kulikuwa na noti ya sh. 100 maarufu kama 'masai; na hasa miaka ya 70 au ya sitini mwishoni. Pamoja na hayo nakubaliana naye kuwa matumizi ya sh. 100 yameporomoka mno na hasa thamani yake.
 
Mbona hakuna sehemu pametajwa 'sarafu' Mkuu!!! Uvivu wa kusoma na kuelewa "central theme" ya mada bado ni shiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiida!

Sijui kama mimi ni mvivu kusoma...na nadhani wewe ni hodari wa kukosoa watu...Ni kweli hakuna mahali pametajwa 'sarafu' ila ni kweli pia kuwa picha ya sh. 100 iliyoonyeshwa ni ya sarafu...sasa wewe unadhani wale ambao hawakuwepo miaka ya 60 na 70 hawawezi kudhani kuwa kulikuwa na 'sarafu' ya sh. 100? Just think about it, comrade. Jitahidi kuchemsha bongo kidogo, humu ndani ya JF tunaelimishana.
 
Haya nimeziweka za longi mzione zilifanana vipi,mwaka 1979 mshahara wangu ulikuwa shs 385/= kwa mwezi tena zinapelekwa Benki THB!
1460941731043.jpg
1460941752278.jpg
 
Duh, huyu jamaa ni mbunifu wa habari...ila habari hii ina upungufu mkubwa. Mwaka 1962 hakukuwa na sarafu ya sh. 100. Kwa kumbukumbu zangu mwaka 1962 na mpaka mwaka 1972 hivi kulikuwa na noti ya sh. 100 maarufu kama 'masai; na hasa miaka ya 70 au ya sitini mwishoni. Pamoja na hayo nakubaliana naye kuwa matumizi ya sh. 100 yameporomoka mno na hasa thamani yake.
Sarafu ya kwanza ya shilingi 100 imetolewa mwaka 1994.
 
Mia yangu ya kwanza niliyoitolea jasho kwa kusomba marofali Mwaka 1984 nilinunua shati la kitenge
 
Mbona hakuna sehemu pametajwa 'sarafu' Mkuu!!! Uvivu wa kusoma na kuelewa "central theme" ya mada bado ni shiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiida!
Sasa mjuaji Mjanga kama kusoma hujui hata picha huioni. Hiyo ni SARAFU ya shilingi Mia. Mwaka elfu moja Mia Tisa sitini Na mbili (1962)
Hili jamvi lakuelimishana sio kukejeriana.
Nihayo tu.
 
Nimekusamehee bure kwa sababu ya jina lako!

Back
Top Bottom