Matumizi ya Neno "Kaa Vizuri" Kwa Nyakati Tofauti

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,146
13,216
Inasemekana kwamba kwa mwanamke wa kiswahili (sijui wa kidhungu)......

Mchana Ukimwambia
kaa vizuri...anabana miguu

Usiku ukimwambia
kaa vizuri...anapanua miguu

Je Kuna ukweli wowote?
 
Inategemea, hata kama ni usiku kama mko sebuleni atabana miguu kama ameipanua na nguo zake za ndani zinaonekana. kama yupo kitandani inawezekana kama unavyosema kutegemea mnataka kufanya nini. We can not generalize. Lakini kuna mantiki kwenye semi zako.
 
Uko sahihi mkuu inategemeana na mazingira
 
Back
Top Bottom