Matumizi ya neno ''Gone''

Unachanganya sana Literal meaning na dictionary meaning bila kufahamu muuliza swali anakusudia nini.

Kwa nini usimuombe muuliza swali ajenge swali lake vyema? (Aeleweke)
Muuliza swali kaeleweka vizuri kabisa .... kwa wataalamu wa English grammar watakuwa shahidi kwangu

Kama wewe hakika ni mtaalamu wa English grammar, eleza makosa ( grammatical errors ) katika hizo tungo mbili zilizotolewa na mleta uzi
 
Asante kwa ushauri wako .... heri kwako wewe mwenye uelewa .... by the way nngetaraji baada ya ku-criticise ungemsaidia muuliza swali/mtoa mada
Ahsante sana kwa majibu mazuri.

Kimsingi muuliza swali ameshindwa kubainisha nataka kufahamu neno "gone" lipo sawa katika level ipi (Syntax au Semantic) au (applicability au acceptability)

Kwa kifupi ni kwamba:
1. Sentence zote ni sawa katika level ya Syntax au applicability. Maana zimefata principle ya Subject verb agreement yaani sentensi ianze na Jina kisha ifuatiwe na kitenzi au kirai kitenzi (verb phrase).

2. Tukija katika level ya Semantic au acceptability pia sentence zote ni sawa maana namba moja inamaana ya kifasihi (literal meaning) na sentensi namba mbili inamaana ya msingi (dictionary meaning).

Hivyo, kulikuwa kuna haja ya muliiza swali kufafanua anauliza katika level ipi, chakushangaza watu wanajibu swali lenye utata (ambiguity) kimsingiblazima uchemke.
 
Muuliza swali kaeleweka vizuri kabisa .... kwa wataalamu wa English grammar watakuwa shahidi kwangu

Kama wewe hakika ni mtaalamu wa English grammar, eleza makosa ( grammatical errors ) katika hizo tungo mbili zilizotolewa na mleta uzi
Soma uzi wangu namba 23 utaona majibu.
 
Ahsante sana kwa majibu mazuri.

Kimsingi muuliza swali ameshindwa kubainisha nataka kufahamu neno "gone" lipo sawa katika level ipi (Syntax au Semantic) au (applicability au acceptability)

Kwa kifupi ni kwamba:
1. Sentence zote ni sawa katika level ya Syntax au applicability. Maana zimefata principle ya Subject verb agreement yaani sentensi ianze na Jina kisha ifuatiwe na kitenzi au kirai kitenzi (verb phrase).

2. Tukija katika level ya Semantic au acceptability pia sentence zote ni sawa maana namba moja inamaana ya kifasihi (literal meaning) na sentensi namba mbili inamaana ya msingi (dictionary meaning).

Hivyo, kulikuwa kuna haja ya muliiza swali kufafanua anauliza katika level ipi, chakushangaza watu wanajibu swali lenye utata (ambiguity) kimsingiblazima uchemke.
Being educated is very important but having the ABILITY of UNDERSTANDING is more important ....

Kama wewe ni mwl. wa lugha na ukauchukua huo mtazamo wako na KIBURI plus DHARAU kwa wengine .... hakika darasa lako litatoa FAILURES

Change that mindset of yours bro before it's too late.
 
Ahsante kwa ushauri!
 
Ahsante sana kwa majibu mazuri.

Kimsingi muuliza swali ameshindwa kubainisha nataka kufahamu neno "gone" lipo sawa katika level ipi (Syntax au Semantic) au (applicability au acceptability)

Kwa kifupi ni kwamba:
1. Sentence zote ni sawa katika level ya Syntax au applicability. Maana zimefata principle ya Subject verb agreement yaani sentensi ianze na Jina kisha ifuatiwe na kitenzi au kirai kitenzi (verb phrase).

2. Tukija katika level ya Semantic au acceptability pia sentence zote ni sawa maana namba moja inamaana ya kifasihi (literal meaning) na sentensi namba mbili inamaana ya msingi (dictionary meaning).

Hivyo, kulikuwa kuna haja ya muliiza swali kufafanua anauliza katika level ipi, chakushangaza watu wanajibu swali lenye utata (ambiguity) kimsingiblazima uchemke.
Nimekuelewa sana na hata mimi mwanzo nlikuwa naelewa hivi...big up ila mjomba ukipunguza dharau itakuwa poa sana...yaani ingekuwa wote tunajua kila kitu basi amini hata jamiiforums isingekuwepo
 
Ahsante sana kwa ushauri! Tajitahidi kuufanyia kazi maana wengi wemenishauri kuhusu dharau.
 
gone is not an adj
Kawnza kuna finite na non finite verb. Non finite ni verb ambazo hazionyeshi time tense or aspect. Mfano.
1. Committed leaders have finished their work.Ukiangalia sentence hii kuna committed na finshed lakini hapo committed imetumika kama adjective.
2. Going to school is what I like most. Hapo going imetumika kama gerund

Sent from my GT-N7100 using JamiiForums mobile app
 
gone is not an adj
Kiufupi neno unaweza kulibadilisha kulingana na unataka kumanisha nini. Mfano table ni noun lakini unaweza kulitumia kama verb Eg.
1. I decided to table with them or I tabled with them. Hapo table imetumika kama verb. Na sio kama noun. Ila kama we sio linguist ningumu kunielewa.
Nimekupa mfano
1. She is clean hapo ni adjective
2. They clean the house daily hapo clean hiyo hiyo imetumika kama verb. Upo. Uliza utajibiwa

Sent from my GT-N7100 using JamiiForums mobile app
 
Naomba tofauti ya sentensi hizi

1. She is gone.
2.She has gone.
Na 1 ni sentensi kamili na inaeleweka, na 2 ni sentensi ambayo haijajitosheleza, inahitaji nyongeza ili kubeba maana, e.g. she has gone home/out/to school/to hospital nk nk.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom