Liu Yun
Member
- Aug 6, 2023
- 11
- 13
Nimekuwa nikitazama umuhimu wa mitandao ya Kijamii katika nchi yetu, lakini bado tunatatizo kubwa Sana la uelewa wa baadhi ya watu. Kwamfano: mtu kauliza swali, "Kuna watu watatoa majibu mazuri zuri tuu" lakini kuna watu "Hushusha matusi na vitu visivyo eleweka"
Hii ni kwanini?
Hii ni kwanini?