Matumizi ya jf

Matumizi ya jf

Wakuu mie ni mgeni katika huu mtandao. Naomba mnisaidie namna ya kuweka avatar
<br />
<br />
nenda seting, edit avatar then upload image from your computer lastly save changes.
Kumbuka kujua file na jina la picha yako kutoka kwenye komputa yako.
 
Back
Top Bottom