mbona wewe upo huko?Mimi fesbuku siifagilii hata kidogo. Kiukwelikweli sijawahi na sitaki kabisa kujiunga huko. Acha niwe mshamba tu.
Sio kwamba ulihamishia album yako yote kule watu wakawa wanakuthaminisha then kwa maumbile yako yakawa yanaamsha mishipa yao? Hebu funguka.dah,me nliwah kujiunga fb bt tangu mwaka jana july nilitoa. res. nilipata marafk weng bt asilimia kubwa walikuwa marafk wabaya nkiwa na maana walikuwa wanataka tuwe wapenz. nkaona cha mno nini. kila anaekuomba urafk anakutongoza. sa kuepuka usumbufu nkajitoa.
Sio kwamba ulihamishia album yako yote kule watu wakawa wanakuthaminisha then kwa maumbile yako yakawa yanaamsha mishipa yao? Hebu funguka.
Ungeweka full watu wangeshaenda kuregister ndoa kwenye nyumba za ibada bila ridhaa yako! Kama half size tu watu wamechanganyikiwa inaonekana you are very cute! Ngoja nami nitafute namna nijionee.maumbile yenyewe utata mtupu, btw nilikeka pic half size cha ajabu inbox ikawa overloaded... je ningeweka full
maumbile yenyewe utata mtupu, btw nilikeka pic half size cha ajabu inbox ikawa overloaded... je ningeweka full
dah,me nliwah kujiunga fb bt tangu mwaka jana july nilitoa. res. nilipata marafk weng bt asilimia kubwa walikuwa marafk wabaya nkiwa na maana walikuwa wanataka tuwe wapenz. nkaona cha mno nini. kila anaekuomba urafk anakutongoza. sa kuepuka usumbufu nkajitoa.
mh, me cyawez ndo mana nkasepa mapema!
Kuna mwingine alijisifia kuwa kashapata "cha Arusha" sasa anajisikia mwerere...
Majuzi kuna mwingine katupia picha ya mdada aliyelewa,kavaa chupi na blauzi,na hajavua viatu kitandani!
Halafu mademu..