bandubandu
Senior Member
- Dec 19, 2010
- 102
- 28
(juice) ya limao na asali inasaidia kupunguza unene.
Uhalisia juu ya unene.
Unene unasababishwa na mambo mengi yakiwemo
Tabia ya ulaji zaidi ya mwili unavyohitaji, mwili baada ya kuchukua hitajii lake huifadhi mabaki kama fat (mafuta) kadili unavyokula zaidi vyakula vya mafuta ndivyo unavyooongeza mafuta.
Kutofanya mazoezi ya kutosha
Mfumo wa umengenyaji chakula kutofanya kazi vizuri
Kula vyakula vinavyozozolotesha uharakishwaji wa mfumo wa umengenywaji kama maziwa au nyakati za usiku. au kupenda kunya maji ya baridi baada ya chakula N.k
Asali na limao zote zinakemikali itayokusaidi kurahisisha umengenywaji kufanyika haraka hivyo utaweza kusikia njaa baada ya muda Fulani (huwenda ikawa ni mapema kuliko kawaida). Ikiwa utaendelea kula kila usikiapo njaa tiba hii haiwezai kukusaidia lolote.
Nilazima wakti Fulani tumbo lako liwe
tupu ili mwili utumie ziada ya chakula ulichohifadhi kama fat (mafuta).
Pia juice ya limao na asali zote zinasaidia kuifanya fati iliyopo mwilini mwako kutumika, utakuwa unajisikia njaa zizuie kula kila mara
pia zizuie kula vyakula nyenye fati nyingi kama chipsi nyama choma ya mbuzi , supu etc
Faida nyingine ya juce ya limao na asali zinasaidia kuuwa bacteria ambao kwa namna moja au nyingie wanadhorotesha mfumo wa
chakula na utoaji taka kufanya kazi vizuri. Kuvisaidia kufanya kazi vizuri kunya maji ya kutosha ikiwezekana ya vuguvugi.
Hitimisho
Tujiepushe kujiua kwa kujijengea kuwa na tabia ya kula vyakula vya mafuta bila kufanya kazi au mazoezi ambayo hupunguza mafuta
mwilini. Zamani watu wengi walikuwa wanona unene ni sifa hata ukisia mtu akisema umependeza umekuwa mnene. Lakini ukweli ni
kuwa unene umuweka mtu ktk mazingira hatarishi ya magonjwa malimabali ya viungo vya ndani kama Moyo, kuziba kwa mishipa ya damu, etc.
Tafit zianaonesha kuwa mafuta mwilini ni kama vichaka vya virusi na bacteria mbalimbali kujificha inakuwa ngumu kwa chembe
nyeupe za damu (ambazo hujulikana kama askri wa mwili) kufikia na kuwaua.
Jiadhali na tabia hatarishi punguza mafuta unapopika, usile vitu vingi vya sukari kwa siku, fanya mazoezi, kunywa maji ya
kutosha, juepushe kujaza tumbo unapokula acha nafasi.Mkuu.@BRAND cc kikahe cc gody Nyie ni nani aliye waambieni kuwa Asali
na Limau kuwa ni sumu? au Asali na Matango ni sumu? acheni maneno yenu ya Uzushi huo. Mimi ninakula kila siku Asali na Tango au
asali na Limau na Maji ya Uvuguvugu mbona sijadhurika?
chanzo.https://www.jamiiforums.com/jf-doct...nasaidia-kupunguza-mtu-unene.html#post2449397
kafanye na hii! lamba asali then shushia na tango utaona habari yake!kama utafanikiwa kuamka kesho asubuhi ! ukifanikiwa najiondoa JF milele

Mi nimejaribu saa 2:30 nikasubiria kufa mpaka saa 4 usiku, lakini sikufa. Nikapitiwa na usingizi, nimekurupuka saa iv saa 8:20 nipo hai tu.
Uzushi tu.
wewe jaribu! kesho utasomeka RIP KakaJambaziNiambie ka kuna mtu alishajaribu akafa
(juice) ya limao na asali inasaidia kupunguza unene.
Uhalisia juu ya unene.
Unene unasababishwa na mambo mengi yakiwemo
Tabia ya ulaji zaidi ya mwili unavyohitaji, mwili baada ya kuchukua hitajii lake huifadhi mabaki kama fat (mafuta) kadili unavyokula zaidi vyakula vya mafuta ndivyo unavyooongeza mafuta.
Kutofanya mazoezi ya kutosha
Mfumo wa umengenyaji chakula kutofanya kazi vizuri
Kula vyakula vinavyozozolotesha uharakishwaji wa mfumo wa umengenywaji kama maziwa au nyakati za usiku. au kupenda kunya maji ya baridi baada ya chakula N.k
Asali na limao zote zinakemikali itayokusaidi kurahisisha umengenywaji kufanyika haraka hivyo utaweza kusikia njaa baada ya muda Fulani (huwenda ikawa ni mapema kuliko kawaida). Ikiwa utaendelea kula kila usikiapo njaa tiba hii haiwezai kukusaidia lolote.
Nilazima wakti Fulani tumbo lako liwe
tupu ili mwili utumie ziada ya chakula ulichohifadhi kama fat (mafuta).
Pia juice ya limao na asali zote zinasaidia kuifanya fati iliyopo mwilini mwako kutumika, utakuwa unajisikia njaa zizuie kula kila mara
pia zizuie kula vyakula nyenye fati nyingi kama chipsi nyama choma ya mbuzi , supu etc
Faida nyingine ya juce ya limao na asali zinasaidia kuuwa bacteria ambao kwa namna moja au nyingie wanadhorotesha mfumo wa
chakula na utoaji taka kufanya kazi vizuri. Kuvisaidia kufanya kazi vizuri kunya maji ya kutosha ikiwezekana ya vuguvugi.
Hitimisho
Tujiepushe kujiua kwa kujijengea kuwa na tabia ya kula vyakula vya mafuta bila kufanya kazi au mazoezi ambayo hupunguza mafuta
mwilini. Zamani watu wengi walikuwa wanona unene ni sifa hata ukisia mtu akisema umependeza umekuwa mnene. Lakini ukweli ni
kuwa unene umuweka mtu ktk mazingira hatarishi ya magonjwa malimabali ya viungo vya ndani kama Moyo, kuziba kwa mishipa ya damu, etc.
Tafit zianaonesha kuwa mafuta mwilini ni kama vichaka vya virusi na bacteria mbalimbali kujificha inakuwa ngumu kwa chembe
nyeupe za damu (ambazo hujulikana kama askri wa mwili) kufikia na kuwaua.
Jiadhali na tabia hatarishipunguza mafuta unapopika, usile vitu vingi vya sukari kwa siku, fanya mazoezi, kunywa maji ya
kutosha, juepushe kujaza tumbo unapokula acha nafasi.Mkuu.@BRAND cc kikahe cc gody Nyie ni nani aliye waambieni kuwa Asali
na Limau kuwa ni sumu? au Asali na Matango ni sumu? acheni maneno yenu ya Uzushi huo. Mimi ninakula kila siku Asali na Tango au
asali na Limau na Maji ya Uvuguvugu mbona sijadhurika?
chanzo.https://www.jamiiforums.com/jf-doct...nasaidia-kupunguza-mtu-unene.html#post2449397
Nimeamua sasa hivi juice zangu ni:
ASUBUHI: asali + limao
MCHANA: maji
JIONI: Kitunguu saumu + carrot
Amani kwenu wanajukwaa. Naomba kujua kitaalam iwapo kuna madhara ya kula tango na asali au limao kwa wakati mmoja, maana kuna rumours kwamba mchanganyiko wa asali ama na limao au na tango hufanya sumu hatari ikiwa utatumika kwa kula.
Kila siku nakunywa chai ninayo unga asali na limao...