Matumizi ya Apps ya JF kwenye pad galaxy 1

Matumizi ya Apps ya JF kwenye pad galaxy 1

Mulama

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2011
Posts
3,047
Reaction score
1,823
Ndugu wadau naomba usaidizi wenu nina Galaxy 1 na nime download apps yetu lakini inaninyima access ya vitu kama reply, quotes, likes, post topic, tags nk. Inawezekana mimi ndio sijui namna ya kuvipata manake nilipo download nilianza kutumia tu mpaka nilipotaka kuangalia nani kaniquote au ka like na vingine vingi nikashindwa kuvipata, hali hii imeninyima uhuru wa kutumia pad kwa ajili ya jf mpaka nitumie computer ndio napata full utilization ya jukwaa.

nimejikuta nalazimika ku post thread zangu fb ambako mawazo ya member wa kule ni ya umri fulani zaidi, tafadhali naomba msaada wa namna ya kufanya na hata nikichelewa ku respond msinichukie kwakuwa sina muda mwingi wa matumizi ya computer kama pad.

Nawasilisha wakuu.
 
Siamini kuona mpaka leo wadau mmenitosa kunako usaidizi huu!
 
Back
Top Bottom