Matumizi ya Antivirus mbili katika device.

Matumizi ya Antivirus mbili katika device.

Kiminyio 01

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2018
Posts
1,399
Reaction score
2,040
Wakuu habarini,je naweza kutumia Antivirus mbili katika laptop Moja?
 
Una tafuta matatizo, tena usije jaribu kuweka anti-virus like avast alafu uchanganye na nyingine...

Nikama kunywa oroder na mseto kwa pamoja!
 
Huwa siku zote ant virus zinaona ant virus wenzie kama virus hivyo zitadakana tu zenyewe humo.

Ila unaweza eka Ant virus sambamba na Ant malware kama malware bytes.
 
Wakuu habarini,je naweza kutumia Antivirus mbili katika laptop Moja?

ni sawa ubalozi wa marekani useme kuna hatari alafu kangi lugola haseme hakuna hatari,wote wapo kiulinzi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom