There's a reason why HTPC sio famous tena sikuhz. Sababu TV boxes ni more convinient na straight to the point na ni bei rahisi pia. Kma unataka ku stream videos, kuangalia movies na kucheza simple games TV box makes more sense economically kuliko PC. User experience ya TV box ni bora sana kuliko PC or HTPC. Nna uhakika OP aliuliza kujua TV box ipoje sabab aliona ni bei rahisi kuliko kuchukua PC na kuchomeka kwenye TVMkuu Android tv ni ya juzi tu, HTPC (Home theatre pc) zipo miaka na miaka kuna case zake zinakuwa na Display kwa mbele na infrared.
Na sababu ni pc unai customize kutokana na unachopenda mfano kama we ni mtu wa muziki unatafuta sound card ya maana, kama ni movies unatafuta mlango mzuri wa cd wenye hadi bluray etc.
Na pia upande wa software windows inazo nyingi za tv, kama Kodi, windows media centre, etc
Na uzuri wa hizi software unaweza tumia kwa gamepad, mara ya kwanza unafanya configuration na mouse na keyboard, then baadae ikiwa kwenye tv unatumia tu pad.
Gadgets kama hizi zipo kibao lakini sio kwaajili ya kila mtu. Kuna watumiaji wanaopenda manouver ndio wanaoenda vitu kama hivi. Kitu ili kiwe popular kinahitaji kurahisishwa kwanza halafu mambo ya bei ni baadae.There's a reason why HTPC sio famous tena sikuhz. Sababu TV boxes ni more convinient na straight to the point na ni bei rahisi pia. Kma unataka ku stream videos, kuangalia movies na kucheza simple games TV box makes more sense economically kuliko PC. User experience ya TV box ni bora sana kuliko PC or HTPC. Nna uhakika OP aliuliza kujua TV box ipoje sabab aliona ni bei rahisi kuliko kuchukua PC na kuchomeka kwenye TV
Htpc imemezwa na gaming na sio kwamba imeondoka. Watu wengi wananunua xbox one s as media centre. Watu wengi wanatengeneza gaming pc kuliko wakati wowote ule.There's a reason why HTPC sio famous tena sikuhz. Sababu TV boxes ni more convinient na straight to the point na ni bei rahisi pia. Kma unataka ku stream videos, kuangalia movies na kucheza simple games TV box makes more sense economically kuliko PC. User experience ya TV box ni bora sana kuliko PC or HTPC. Nna uhakika OP aliuliza kujua TV box ipoje sabab aliona ni bei rahisi kuliko kuchukua PC na kuchomeka kwenye TV
Kutype ni jau. Kma HTPC tu unaweza connect wireless keyboard ukatype.Htpc imemezwa na gaming na sio kwamba imeondoka. Watu wengi wananunua xbox one s as media centre. Watu wengi wanatengeneza gaming pc kuliko wakati wowote ule.
Xbone s ina Kodi, netflix, youtube, mlango wa cd etc pengine ni moja ya media centre za kihalali ambayo ipo complete zaidi.
Na hakuna anaekataa kwamba Android tv box ipo convinient zaidi ila ndio kwa watu wasiotaka mambo mengi,
Na user experience i beg to differ, well made htpc inakupa experience nzuri na interface nzuri kuliko tv box. Umeshawahi kutype na tv box? Experience ipoje?
Hiv naweza nikiwa na ungo na decoder(i.e azam) , nikaangalia TV kwenye PC (laptop)Nijuavyo swala la streaming linategemeana na network. Akichukua min pc ataenjoy zaidi game za windows ambazo ni bora zaidi.
Unapokuja kwenye swala la performance mkuu computer haina mpinzani. (Pc)
Me naendelea kumshauri achukue min pc. Atakuwa kaua ndege wawili kwa jiwe moja. Akipata na wireless mouse mambo yanakuwa rahisi kabisa.
Nafikiri haiwezekani kwa laptop.Hiv naweza nikiwa na ungo na decoder(i.e azam) , nikaangalia TV kwenye PC (laptop)
Kwahiyo hakuna kifaa chochote kinachowezapokea zile wire tatu na kupeleka sound na picha kwa PC.Nafikiri haiwezekani kwa laptop.
Ingekuwa monitor sawa.Kwahiyo hakuna kifaa chochote kinachowezapokea zile wire tatu na kupeleka sound na picha kwa PC.
Dah poa man!Ingekuwa monitor sawa.
Yaani ngumu laptop kupokea video na sauti kutoka nje.
Huko Bing wanasema uwe(upurchase) na TV tuner unaconnect nn tena sijui sema natumia freebasics siwez kuread moreIngekuwa monitor sawa.
Yaani ngumu laptop kupokea video na sauti kutoka nje.
Kama una bundle, link hii hapaIngekuwa monitor sawa.
Yaani ngumu laptop kupokea video na sauti kutoka nje.
Yaah labda kuna tuner za usb.Huko Bing wanasema uwe(upurchase) na TV tuner unaconnect nn tena sijui sema natumia freebasics siwez kuread more
Hebu upitie kwanza manake naona maswala ya kuinstall drivers!Yaah labda kuna tuner za usb.
Nahisi lazima driver ihusike. Shida hivyo vidude unakuta huku kwetu hakuna. Ila ukiingia alliexpress vipo. Na naona vinakuwa full na cd yake ya driver.Hebu upitie kwanza manake naona maswala ya kuinstall drivers!
Naomba mwongozo jinsi ya kuinstal Android kwenye Pc mkuuWindows mkuu kama ujuavyo ni zaidi ya android tafuta. Min pc ni bora zaidi. Ukuwa unafaidi vingi zaidi. Maana karibu vyote vipatikanyo kwenye android utavipata kwenye windows. Lakini vya windows ni vigumu kupata kwenye android. Hata ukiihitaji sana android unaweza kuinistall pia android kwenye min pc yako, wakati wa kuboot unachagua tu uingie windows au android.
Naomba mwongozo jinsi ya kuinstal Android kwenye Pc mkuu
Kuna namna mbili.Hiv naweza nikiwa na ungo na decoder(i.e azam) , nikaangalia TV kwenye PC (laptop)
Ukiagizia Aliexpress Mi stick ambayo inatosha kwa Full HD streaming ni around 70,000.Hiv hizo android TV box ni sh ngapi average price?